Yussuf Manji, Omba Toba

Yussuf Manji, Omba Toba

Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.

Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.

Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.

Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.

Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).

Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.

Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.

Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.

Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.

Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:

Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo

Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.

Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:

Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo

Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.

Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.

Jikumbushe:

Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com

MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?

Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.

Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Maneno mazito na mwenye macho na ayaone na mwenye masikio na ayasikie.
 
Muislamu mnafiki wa aina hii ya kwako FaizaFoxy, hafai hata kuikaribia kibla!
 
KWANINI UNAMSHAMBULIA MUISILAAM MWENZETU?HUONI KAMA UNAWAPA WAKRISTU NGUVU YA KUUZOOFISHA UISLAMU?KWANINI HUKUSEMA HAYA KULE FARAGHANI

Wewe na udini lazima utaishia motoni tu mnafiki mkubwa wewe
Kama ulikua huna cha kuchangia si bora tu ungepita kimya hapa?

Jikite kwenye mada acha hizo personal attack za kitoto coz hazitokusaidia lolote,
Hizo chuki zako sana sana zitakutesa wewe mwenyewe tu na kukusababishia vidonda vya tumbo.
 
Ulifatwa -Ulifuatwa.
Shuleni Ulienda kusomea ujinga?
By the way, Manji hawezi kuomba toba Kwa dhambi ya kusingiziwa na magaidi.
la pili, Serikali hii inamwonea kila mtu mwenye dalili za kuipinga au kuonekana yupo upande wa upinzani.
Kwani Mbowe aliwakosea nini wakristo hadi akaporwa Bilicanas? Ishu ni kwamba, Dikteta yupo kazini. Na bora huyo manji unayeweza kumwona, Ben Saanane yupo wapi? Huwezi kuipinga hii serikali ukawa salama, hebu na wewe anzisha harakati dhidi ya serikali hii uone Kama utasalimika.

Ben Saanane kamuulizie kwa boss wake, Mbowe.

Mbowe pale Bilicanas ni zaidi ya ufisadi uliokuwa ukitendeka, vitoto vidogo vingi vimeharibikia pale.

Dua zimekubaliwa.
 
Hakika ndugu Faiza,umefikisha ujumbe na Allah ni shahidi. Waumini wa dhati ni wale ambao inapowafika misukosuko husema:Sisi ni wa Allah na hakika kwake tunarejea. Pamoja na nasaha hizo,tumuombee ndugu huyo na wengineo wote wanaopatwa na misukosuko, iwe kheri kwao hapa duniani na Akhera-AMIN

Amin.
 
Samehe saba Mara sabini elfu. Badala ya kumsamehe wao wanamsomea albadir. I guess Manji siyo muislam ila ni hinduism

Manji ni shia(shiite) na Bakwata na huyu FaizaFoxy ni Sunni. Uhasimu wao (Sunni vs Shiite) ni mkubwa sana na ndio sababu ya Waislamu kutoungana duniani.

Attachments

  • 1119201624231_sunnivsshia.jpg
    1119201624231_sunnivsshia.jpg
    24.2 KB · Views: 33
Mwenyezi Mungu ndani ya Qur'an anajiita Alrahmaan ( Yaani Mwingi wa Rehma) pia anajiita Alghaffaar ( yaani Mwenye kusamehe), ila pia amejiita Shadiidu'l Iqaab ( yaani Mkali wa kuadhibu).

Ni vyema mtu yeyote yule, mtawala au mtu wa kawaida asifanye dhulma katika ardhi, maana dua ya mwenye kudhulumiwa ni kali, na mwisho wa wenye kudhulumu huwa ni mbaya sana!

Dua ni silaha ya Muumin!!
 
Tumemshatakia mwenyei!! Hivi hiki ni kiswahili cha wapi? Hakika wewe ni punguwani kabisa tena jinga kabisa.

Kasome post namba 117. Ina mafundisho mema sana.
 
Back
Top Bottom