Yupo wapi yule jamaa aliyedai kuibiwa mke na Dr. Slaa?.

Jamaa kala mshiko wa kutosha kutoka kwa mtuhumiwa. Kaona bora pesa kuliko mke. Si alikuwa mchaga yule au mmesahau?
 
Kwani ndugu yangu yule jamaa si sawa na pad (zile sijui alwayz zile)......unatumia tu ukiwa kwenye hedhi kisha haina maana tena na unatupa

Labda tuwaulize magamba walipomaliza walitupa wapi, chooni au walifukia chini

au ni kama k.o.n.d.o.m, baada ya ku do hawatamani hata kukushika.
 
Mkuu mi nilijua wewe ni mwanaume kumbe ni mwanamke! lol, samahani kwa kukufananisha na mwanaume, nahisi nilikudhalilisha.

Kijana haikosi una matatizo kwenye njia ya mkojo....haiwezekani baba wa mtoto mmoja na mimba uniite mwanamke....pambafu zako

Wapi post yangu imesema me mwanamke? kwani wanawake tu ndo wanajua juu ya pads.......kijana angalia vizuri ntakugeuza chura
 
Jamaa kala mshiko wa kutosha kutoka kwa mtuhumiwa. Kaona bora pesa kuliko mke. Si alikuwa mchaga yule au mmesahau?

kazi aliyopewa na ccm ameimaliza, anasubiri tena msimu mwingine. Magamba na mbinu zao chafu.
 
Kijana haikosi una matatizo kwenye njia ya mkojo....haiwezekani baba wa mtoto mmoja na mimba uniite mwanamke....pambafu zako

Wapi post yangu imesema me mwanamke? kwani wanawake tu ndo wanajua juu ya pads.......kijana angalia vizuri ntakugeuza chura

punguza hasira. Unabisha na kichaa.
 
Yule jamaa alipewa Landcruiser vx na zzm akaingia mitini, yule alitumika kama Dume af wakamchia baharini.
 
Yule bwana hana tofauti na hawa BAKWATA, wanatumika pasipo wao wenyewe kujijua, Mwisho wa siku wanapotezwa kwa skendo zao, AIBU KWAO!
 
we k.o.n.d.o.m,huku kwe2 2nazifua and then 2nauza
Kwakweli mnajitafutia matatizo. Mbona zipo zilizoletwa na serikali kwa kubadilisha na dhahabu ya Nyamongo na zinagawiwa kwa kila anayezitaka.
 
kila uchaguzi na singo yake, ule umeisha mashiko sasa umekuja wa DC mkatoliki na vazi la hijabu ukiongozana na umwagaji wa tindikali. magamba du kazi kweli kweli
 
Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.
Kaamua kujiingiza moja kwa moja kwenye UsHoGa, Baada ya mke kumkimbia kwa ajili ya tabia hizo!
 
Back
Top Bottom