Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.
Kwani ndugu yangu yule jamaa si sawa na pad (zile sijui alwayz zile)......unatumia tu ukiwa kwenye hedhi kisha haina maana tena na unatupa
Labda tuwaulize magamba walipomaliza walitupa wapi, chooni au walifukia chini
Kweli Mungu uchunguza moyo jamaa angeukwaa urais sijui wake zetu tungewaficha wapi.
keshapewa chake katulia kama hayupo.