Yupo wapi yule jamaa aliyedai kuibiwa mke na Dr. Slaa?.

HGYTXK

Senior Member
Oct 3, 2011
194
70
Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.
 
SDC10963.JPG
 
Kwani ndugu yangu yule jamaa si sawa na pad (zile sijui alwayz zile)......unatumia tu ukiwa kwenye hedhi kisha haina maana tena na unatupa

Labda tuwaulize magamba walipomaliza walitupa wapi, chooni au walifukia chini
 
Wakili alikuwa dogo mmoja ambaye naye aligombea udiwani hapo Dar akashindwa so walikuwa wote wana ganga njaa .Dogo anaendelea na kazi kama wakilli ila jamaa sijui kaishia wapi .
 
Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.

Unamtafuta wa nini? Unataka kumpa mke? Keshafungua kesi tusubiri matokeo.
 
Hili valangati lilianzishwa mwaka 2010 wakati CCM ikiwa na ile Sekretariati ya Makamba SR, sasa kwa kuwa Sekretariati ilipotezewa, basi na hiyo issue ilikosa mshiko baada ya Makamba mwenyewe kustaafu / kustafishwa. Lakini kwa kuwa tuliambiwa kesi ko mahakamani tusubiri siku hukumu ikitolewa labda ndipo hadithi itaanza upya tena.
 
Anasubiri makao ambayo Makamba aliahidi kwenda kuandaa, Njaa bana kitu mabaya sana, Jamaa kachapiwa Mkewe na Nchemba na kupewe senti Kidogo kimyaaa! kwa hali hii Tanzania Bila.....Haiwezekani(natania tu wakuu).
 
anasubiri 2015 kama slaa atasimama tena kwenye uchaguzi nae aanze tena kudai mke wake, yaani kama kuna dalili zozote za mkewe kuwa first lady basi anakuja juu kwa sasa hamhitaji.
 
Kweli Mungu uchunguza moyo jamaa angeukwaa urais sijui wake zetu tungewaficha wapi.
 
Kwani ndugu yangu yule jamaa si sawa na pad (zile sijui alwayz zile)......unatumia tu ukiwa kwenye hedhi kisha haina maana tena na unatupa

Labda tuwaulize magamba walipomaliza walitupa wapi, chooni au walifukia chini

Mkuu mi nilijua wewe ni mwanaume kumbe ni mwanamke! lol, samahani kwa kukufananisha na mwanaume, nahisi nilikudhalilisha.
 
Media za kibongo noma kweli, yaani sasa walivyokaa kimya utadhani kesi hii haipo kabisa!
 
Kweli Mungu uchunguza moyo jamaa angeukwaa urais sijui wake zetu tungewaficha wapi.

Nchemba ameapa kufanya ziara kwenye majimbo ya mikoa yote bara, tahadhari makada wa ccm na pro-ccm wote mnatahadharishwa kuwa makini na wake zenu
 
Inasemekana mama alihitaji katoto kengine na jamaa nguvu zilishamwishia na babu wa Loliondo alikuwa hajaibuka.

Na Mungu hamtupi mja wake mama wa watu akakesha anasali na kuomba na kweli akatelemshiwa dume la mbegu sasa hivi nasikia ana ka baby.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom