HGYTXK
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 194
- 70
Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.