Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Waasalamu tupeane taarifa kuhusu mshindi wa jimbo La kinondoni Mtulia mbona kimya sana vipi keshaapishwa.?
 
Kamuulize huyo mkapa kwanini hakanyagi pemba? popo bawa kamfanyia kitu mbaya
Hahah Mkapa aje kijiji cha Pemba kufanha nini sasa mkuu,yaani majiji huko Dar,New york aje Pemba hahah,ajabu sana aisee
 
Daah ,mtulia kapigwa kipapai tena hichi cha mara ya pil ndo kizito,maana kile cha kwanza walimtoa malengelenge ili ashindwe kufanya kampen akajitahid kutafuta msaada akapata hafueni sasa naona jamaa kaona kumbe unajidai unaweza kupata msaada ngoja naona kombola hili x la tanzania sasa
 
Kumbe hizi habari ni za kweli. Nimezisikia leo kuwa jamaa kadata nikadhani masihara

Haya mambo siyo ya kuyadharau, kwani nimepata taarifa kuwa yule aliyekuwa mbunge wa Kilombero Abdul Mteketa yuko hoi bini tafani sio kifedha tu bali hata kiafya mpaka anashindwa kujitibu na anapitisha bakuli watu wamchangie!! Mteketa huko Kilombero alipokuwa anagombea ubunge mtakumbuka kuna binti mmoja mbunge wa viti maalum Chadema [ R.I.P.Mtema] alifariki kwa ajali ya gari na yeye akahusishwa!! Damu ya binadamu haipotei bure hivi hivi!!

Mungu ana amri yake mmoja isemayo "Usimtendee mwenzio yale ambayo usingependa wewe utendewe" , hii amri ndio chanzo cha misemo kuwa " UKIUA kwa upanga ,utakufa kwa upanga "; " what goes around must come around"!! Kwahiyo namalizia kwa kusema kuwa viongozi lazima watambue kutokana na mifano hiyo kuwa malipo ni hapa hapa duniani kwani wakina GHABO wa Ivory Coast na James Taylor wa Liberia walitegemea yaliyowapata?
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Sorry,
Huyu jamaa ndio yule wanaesema yuko Kijijini kwao huko Undengerekoni anaongea mwenyewe tu, muda wote anataja taja ovyo viungo vya uzazi?
Au nimemfananisha?
 
Back
Top Bottom