Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Damu za watu haziendi bure, laana inamtafuna yeye na kizazi chake. We jitoe ufaham tuu ukijifanya ndio msemaji wa hyu baradhuli
 
Kuna ukweli wowote kuhusiana nahali yake?? Au porojo tu???
 
Nikupe mfano tu, ulishawahi kutumia kondom?? Tendo la ndoa ni tamu sana, lakini cha ajabu ukishakojolea hiyo kondom hata kuishika unaona kinyaa.


Used Mtulia kinondoni

Kauli yako imenikumbusha kina Kafulila na Machali! Wako wapi makamanda hawa wa kiwango?! Au ndio hadithi ya big gee?!
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaonekana? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Utamsikia wapi wakati kakatazwa na mwenyekiti wako kufanya siasa kama Chakubanga? Akatiwe fungu na yeye "aunge mkono juhudi" kama una HAMU ya kumsikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…