Yupi humchezea au kumnajisi mwenzie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupi humchezea au kumnajisi mwenzie?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Nov 22, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  mabinti hupenda kuwatupia lawama njemba zao mara mambo yanapokwenda mrama husikika wakidai ya kuwa wapenzi wao ndiyo wamewapotezea muda wao bure, kuwachezea na kuwanajisi.......................huwa na vinyongo ambavyo havina ukomo.................swali langu la leo ni kuwa hivi ni nani hasa humchezea mwenzie au kumnajisi kati ya dume na jike?
   
 2. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  eh ngoja nifkirie...

  nitarudi
   
 3. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanaume utakapomnajisi au kumchezea mwenzako hautokuwa na alama,
  zaidi sana utajiona wewe shujaa, na mwanaume rijali, una uwezo wa kwenda popote
  ukapendwa, Mwanamke aliyetendewa atabaki na msongo wa mawazo, huenda hata
  ujauzito umemwachia, matumizi hapati, amani haipo tena, atahisi kaonewa nani wa kumpenda
  tena huyo mwanamke????? Mbaya zaidi utakapotangaza kuwa umemwacha na unaowatangazia
  wana uhakika kuwa ulikuwa unatembea nae, hatotokea hata mmoja wa kupanga nae maisha na
  kumuoa, labda wa kumchezea zaidi, lakini kwa upande wa mwanaume hata utangazwe vipi kwenye umati wa
  watu, utakapomtaka bint wengi watakukubalia, hivyo basi mwanaume ataonekana ndiye aliyemnajisi bint na lawama atatupiwa yeye
  mwanaume na atasomeka kuwa amemchezea bint wa sultan.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwenye dudu ndo anamchezea mwenzake.
   
 5. M

  MyTz JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  basi wanachezeana, wote wanayo hapo kwenye red...
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kutokana na mfumo dume toka enzi za mababu bado inaonekana mwanamke si mtu wa kuchukua maamuzi magumu hasa linapokuja suala la kuachana au kutengana,ndio maana unaweza kuona kauli kama hizo,mwanamke ni mtu wa kusamehe tofauti na mwanaume ambaye hawezi kujizuia hasa anapokosewa na mwanamke.
   
 7. M

  Mpemba asilia Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwahiyo kama nikikuta bint wenzangu,washapita nami nikapita kiduchu na zana salama,nikimwacha hatakiwi kunilalamikia?kwn nitakuwa cjaharibu chochote na hakuna harama
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  apana.
  ni mtu mmoja ndo ana dudu mwingne ana....
   
 9. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha zana salama wala nini, moja kwa moja nawe ushamchezea, kwa nini upitie kiduchu, usipitie jumla jumla na kuingiza ndani????
   
 10. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwingine ana kitumbua na sio dudu
   
 11. M

  Mpemba asilia Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani naye si atakuwa amenichezea?kama akikataa kuolewa na mm je wkt tushachakachuana?
   
 12. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,632
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  duniani kuna mambo! Ila ulichosema pale juu ni kweli kuna mdada hukoo siku nying sana ananichukia mpaka basi
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yule anaevuruga ahadi aliyompa mwenzake...awe mke au mme.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  umejibu vyema
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mwenye mpini
   
 16. M

  MyTz JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kumbe iko hivyo...
  nimekupata...
   
 17. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 705
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  mimi najiuliza hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani ana dudu
   
 18. n

  no worries New Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kuna broken promises, lazima kuna muda umepotezwa kwa sababu ahadi alikuwa inasubiriwa, kwa muda gani inategemea ilikuwa ni ahadi gani, haijarishi ni kutokea upande gani? na hili la kupotezewa muda linaweza kuwepo hata kwa watu walio oana (funga ndoa).
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Teh,na yule anaechezea dudu je?
   
 20. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lol.Wote wanayo madudu.Belivdat
   
Loading...