Yummy!!

Unategemea nikuachie hiki kifaa kirahisi??

attachment.php
Jamani mbona mnazidi kunichanginyiiiii!!! Kwa stahili hii najipanga kwa nguvu zote siogopi cha shipa wala kingungulu!
 
Mama vijacho Yummy funguka uweke hadharani mwenye hiyo mimba ya vijacho ni nani kati ya kibabu Asprin na Mr. Rocky​?
 
AmKATRINA namuweza bana kwanza yule msiri mambo yetu ya ndani atanyamaza nayo kimya kabisa
Huyo dahane duh hapana kabisa aise unaweza kukuta amekuanika kuwa jana yake boxer yako ilikuwa imetoboka

Stuka Mr Rocky!! STUKA!! THINK!! Stukaaa!! AmKATRINA = DaJane = (.............) Hahahahaha! KAsome posts zao katikati ya mistari afu uje unambie.
 
Last edited by a moderator:
AmKATRINA namuweza bana kwanza yule msiri mambo yetu ya ndani atanyamaza nayo kimya kabisa
Huyo @dajane duh hapana kabisa aise unaweza kukuta amekuanika kuwa jana yake boxer yako ilikuwa imetoboka
 
Stuka Mr Rocky!! STUKA!! THINK!! Stukaaa!! AmKATRINA = DaJane = (.............) Hahahahaha! KAsome posts zao katikati ya mistari afu uje unambie.

Babu Asprin nishashtuka toka mwaka 1947 aise
hapa unaweza kuvuliwa nguo unaona mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
Ndo manake KARIA tena ana mimba yangu ya watoto mapacha Asprin sijui nae anatoka wapi kusema eti ni mkewe

hahahahah hata kama Asprin
Tutapambana kwa hali na mali kujua nani ni nani

Mi kwa sasa najiibia kwa AmyKatrina bana CANtalista kwa Rejao habanduki aise

AmKATRINA namuweza bana kwanza yule msiri mambo yetu ya ndani atanyamaza nayo kimya kabisa
Huyo dahane duh hapana kabisa aise unaweza kukuta amekuanika kuwa jana yake boxer yako ilikuwa imetoboka

Mbona husomeki mpenzi, nini mbaya Mr Rocky???
Nilidhani kuna haja ya kujielezea kuhusu mzee mzima Asprin lakini sioni haja baada ya kusoma hayo hapo juu, ila naona Da Jane atakua amekuchanginyi kwelkwel....pole sana mme wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona husomeki mpenzi, nini mbaya Mr Rocky???
Nilidhani kuna haja ya kujielezea kuhusu mzee mzima Asprin lakini sioni haja baada ya kusoma hayo hapo juu, ila naona Da Jane atakua amekuchanginyi kwelkwel....pole sana mme wangu.
Yummy my wife nakupendaga sana na nakulike sana Asprin anataka kuvunja ndoa yetu na huyo kidudu mtu KARIA aliyekuja bila speed anataka kuleta vita DaJane achana nae yule ile no nyingine maana kwa matusi ni balaa aise
Karibu my wife wangu Yummy
 
Last edited by a moderator:
Lakini sio mimi darling......hao hawajafundwa ndo maana na hasa itakua ni kilio cha mkosaji.

Nakujua my wife wangu Yummy we umetulia sana na una busara za kuchukulia mambo na kuyazoea na tunaongea kukiw ana ugomvi
ndo maana nakupenda achana na hao wengine hawajui nyumba inatakiwa kuwaje aise
 
Last edited by a moderator:
Yummy my wife nakupendaga sana na nakulike sana Asprin anataka kuvunja ndoa yetu na huyo kidudu mtu KARIA aliyekuja bila speed anataka kuleta vita DaJane achana nae yule ile no nyingine maana kwa matusi ni balaa aise
Karibu my wife wangu Yummy
aseee yule DaJane ni chiboko, niliupenda ule uzi, nani kautoa, ulinifanya niione jf kwa jicho lingine kati ya gfsonwin na DaJane, lolest!
 
Last edited by a moderator:
Darling Yummy! Nijaalie hali yako jioni hii, hujambo la aziz? Mi miss you and love you sana!
 
Hi love The secretary,hebu cheki kwenye friza kama prawns na lobsters bado zipo. Na ile christal champain angalia zimebakia chupa ngapi. Ka vipi chukua vogue uje uni pick Serena ndo namalizia kikao.

uwiiiiiii.............jamani wengine tunasindikiza maisha lol! miye naomba scales za hao lobsters na prawns ni dili kweli huku nilipo kama vipi nicheki nikupe shavu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom