Yummy!!

Yummy karibu hapa mlangoni mwa nyumba yangu utakuta talaka zako milioni moja wapelekee watu wa kijijini mwako wote uwaambie umeachwa rasmi mpelekee mama na baba yako na dada yako na mke wa kaka yako na babu yako na mjumbe wa mtaa na balozi na mjukuu wa bibi na kitukuu cha babu na jirani yako na dada yako na mwanafunzi uliyesoma nae msingi kuwa umeachwa rasmi na jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky
Mr Rocky! Umesahau na mifugo.
 
Mr Rocky wivu siyo dawa,
kwani nani alikuambia uende mgodini umwache
Yummy,
endelea kulia na roho yako tu, kizuri unakula na wenzio.

mandenyi si nilienda mgodini kutafuta ngawira sasa
kwa nini asivumilie mateso kidogo ili ngawira zije
Wivu sina ila roho inauma mwe

Mimi Yummy na wewe Mr Rocky kamweeeeee hatuwezi tenganishwa na watu hovyo hovyo.....sasa ni wapi umeona nimemkubali KARIA jamani???kama si uonevu huuu
KARIA katoka huko alikotoka anakutongoza mchana kweupe hivyo bana tena mbele ya watoto
halafu naona Asprin bado anakutaka na anatangaza dau kutokukosa
Sasa mi mchuano huo na babu hapana sio wenyewe maana babu anaweza nishusha busha bure
 
Last edited by a moderator:
Ndo manake KARIA tena ana mimba yangu ya watoto mapacha Asprin sijui nae anatoka wapi kusema eti ni mkewe
Asprin naye ana mapacha! sasa sijui watoto hawa baba yao halisi ni nani? Kwa kuwasaidia nimeliona hilo na ndio maana nakaamua kuvaa mabomu ili kujitoa muhanga kwa ajili yake asali wa moyo wangu Yummy!
 
We subiri waje hapa uone wakatavyokusuta. wanaipendaje bakora yao??

Asprin naye ana mapacha! sasa sijui watoto hawa baba yao halisi ni nani? Kwa kuwasaidia nimeliona hilo na ndio maana nakaamua kuvaa mabomu ili kujitoa muhanga kwa ajili yake asali wa moyo wangu Yummy!
KARIA we ngoja wazaliwe wakiwa na pua limeenda kushoto watakuwa wa Asprin ila ikiwa imeenda kulia ni wa kwangu Asprin we endelea kulelea ila mi nafaidi kwa muda wangu
 
Last edited by a moderator:
KARIA we ngoja wazaliwe wakiwa na pua limeenda kushoto watakuwa wa Asprin ila ikiwa imeenda kulia ni wa kwangu Asprin we endelea kulelea ila mi nafaidi kwa muda wangu
Unategemea nikuachie hiki kifaa kirahisi??

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom