Usisahau nna paswed yako. You better be careful before I change my mind. Ebo!
nimekuelewa Yummy! mmmh KARIA pol............!!!!!!!!!princess enny nawe unakua ka hujui bana.....hilo ndo dume langu chochote anacho jibu ni RUKSA! Ananielewa vyema ati,kalaghabaho....
Khaaaaaaaaaaaaaa!I missed u Bishanga lol!Hi love The secretary,hebu cheki kwenye friza kama prawns na lobsters bado zipo. Na ile christal champain angalia zimebakia chupa ngapi. Ka vipi chukua vogue uje uni pick Serena ndo namalizia kikao.
eti Bishanga ananionea wivu hebu mpeni pumzi baby wangu hamuishi kumtaja tunashindwa kula raha sababu yenu
Mimi ni mjukuu wa kwanza wa babu Asprin! Nina sifa kama za babu yangu, kwa hiyo Yummy usihofu hata kiduchu! Ingawa Bishanga ananionea wivu!
Hahahahaaa KARIA weeee KWANZA, utaniweza mie kweli????? Hebu mchombeze Asprin akuelezee mambo yangu ndo utajua kama utanimudu.
PILI, unajisikiaje kutongoza mke wa mtu lakini???tena wa mzee mzima Asprin walau ungekuja chobingo unchombeze sasa wewe umeingia mzima mzima wangu!!usiniharibie ndoa yangu jamani ni tamu sanaaaaaaaaaaaa ntapata wapi wa kunidekeza mwingine YUMMY mie
Mkumbukage na zana........
Yummy karibu hapa mlangoni mwa nyumba yangu utakuta talaka zako milioni moja wapelekee watu wa kijijini mwako wote uwaambie umeachwa rasmi mpelekee mama na baba yako na dada yako na mke wa kaka yako na babu yako na mjumbe wa mtaa na balozi na mjukuu wa bibi na kitukuu cha babu na jirani yako na dada yako na mwanafunzi uliyesoma nae msingi kuwa umeachwa rasmi na jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky
Mmmmhhhhh.....ama kweli wagombanao ndo wapatanao! The secretary weweee ndo wakumuita Bishanga bebi??????haloooooo pesa tamu kwelkwel
Bishanga hivi hujui kama siku hizi mambo msondo ngoma! Kesho natangaza ndoa baada ya kupata baraka zote kutoka kwa Babu Asprin! Aah haaa!