Yummy!!

Hivi Karia,wake za watu unawatakia nini?
Hivi hujui hata huyo Asprin wenu anazuga? Unaijua sehemu moja inaitwa Nanjinjiri huko Liwale? Ushawahi sikia mtu anageuzwa nyoka?

Bishanga hivi ni kwann wewe unapenda kudandia dandia mambo ya watu???? Una uhakika Asprin anazuga???!!!utasutwaaaaaa, KARIA mwaya achana na huyu mzee anakupotosha afu ukipigwa atakucheka.
 
Last edited by a moderator:
Si ndo hapo......unajua majamaa hawajui utamu wa hii makitu!
itabidi siku moja tuwapigie picha tuwawekee hapa waone tunavyoenjoyigi! lol, Yummy kichapo cha jana kilikuwa heavy ee?? ndio waamka??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom