Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Oops I'm past that stage swts....Point si huwezi, hamna haja ya porojo. Subiria kutongozwa na kuombwa ndoa na kibopa.
Oops I'm past that stage swts....Point si huwezi, hamna haja ya porojo. Subiria kutongozwa na kuombwa ndoa na kibopa.
Hongera mamii, you are milestones ahead!Oops I'm past that stage swts....
AlhamdulillahHongera mamii, you are milestones ahead!
Wewe mkwe wangu nakuaminia, hizi tabia za kishenzi hauna.Mi sina tabia hio mbona mama!
Hizi kauli zenu basi nikizisikia najisemea tu "hiiiiiiiiiiiii"Hahah ishu ya kuw wife material ni mtambuka sana ila wanawake ni kama vile wanajisahaulisha sijui. If you behave like a woman 100% hutokosa mume wa kukuoa.
Kuna kitu wanaume wengi wanakitaka ili waoe ila wanawake wengi wanafeli hapo.
Nutajaiweka kwa hewa tu siku moja
Bahati mbaya huwa wanajielewa tayari wakiwa wameshaachiwa na mtoto juu.!!Kuna mdada kaniambia maneno ya kama huu uzi jana tu,muda ukishaenda hawa wenzetu ndio uwa wanajuta na kukumbuka yaliyopita lkn inakua too late!
Utajua uko uko pm
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda
Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Likes nyingi watu wameona kichuguu 99.99% ni ndume, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
TruePoint si huwezi, hamna haja ya porojo. Subiria kutongozwa na kuombwa ndoa na kibopa. Umeshakata tamaa kiaina flani
Usiseme huwezi maana ndio aina ya wanaume waliowazunguka zaidi hapa mjini. Unaweza kula sound ukapigwa muwa ukajikuta umenasa na hela unatoa.
Gari ndio inaelekea kuuzwa!