Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kuishi na mtu asiyempenda inawezekana kabisa.Ila mwanaume kuishi na mwanamke asiyempenda hawawezi kudumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freshi tu wana mtoto wa pili sahivi. Yani sista alikuwa na jamaa wa usalama kipande ya mtu akamtia goli halafu akawa anazingua kuoa. Huyu muhuni ndio akaja kuseleleka zake na kuoa kabisa maana sista yuko full gwamba hela ipo na shule nyingi tu halafu hana makuu mpole huyoo!!!
Maskini...wadada wapole wanapataga Vimeo kweli!

Sasa kwanini jamaa asitafute kishughuli cha kufanya??

Wanawake by nature hawapendi kuliwa vitu vyao eti, iko siku atamchoka!

Aombe tu sista ako asipate mpango wa kando uwe unajiweza halafu unampenda, huyo marioo atajuta!...wee unafikiri haumii anavyomlisha huyo koroo!

Hahahah too bad yuko geniune kweli na hisia zake. Inaonesha dhahiri yeye alikuwa anataka mume tu maana anajitosheleza kila kitu so hana haja ya kuhongwa wala sio maisha yake jamaa anavyomjali na kumpa time ye karidhika tu yupo for love. Sijui lakini kama watashindwana watajuana wenyewe ila seems kajitoa!
 
Katika yote uliyoyasema, wakumbuke hili hata kama watasahau hayo yote. Classmate wangu waliokuwa wanachagua bado wako single ama ni ma-single mother in their 40s. Walioamua kuwa na sisi, ndio wana familia zao. Siyo matajiri lakini wanakula, wanavaa, wana usafiri, sehemu ya kulala na watoto hawaendi IST lakini wanakwenda shule nzuri. Sasa hivi hao wenzetu waliokuwa wanatafuta wapenzi kutoka familia tajiri wakiolewa nadhani itakuwa na wanaume wagane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos uko real...! Olewa na ambae moyo umeridhia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi kumpenda akupendaye kuliko kumfosi asiyekupenda akupende.
Mwanamke mjanja kwa sasa anamchukua mwanaume then anamshape anavotaka yeye awe wala si kazi ngumu.

Nb:unaweza kumshape wako then ukaibiwa[emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...kuibiwa hapo kutamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom