Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa na anayekupenda dear people learn to love!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mdada, umri wa kuolewa umefika na upo single, gonga like nikufuate inbox tuyajenge malengo😘😘❤❤
 
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....naomba tu yasinikute tu haya khaaa!

Kisa chako kitamu sana, huyo muhuni wanaendeleaje na sista ako mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Freshi tu wana mtoto wa pili sahivi. Yani sista alikuwa na jamaa wa usalama kipande ya mtu akamtia goli halafu akawa anazingua kuoa. Huyu muhuni ndio akaja kuseleleka zake na kuoa kabisa maana sista yuko full gwamba hela ipo na shule nyingi tu halafu hana makuu mpole huyoo!!!
 
Back
Top Bottom