hapa dada nimezungumzia kujaribu kuzikabili hisia na kuendana na mtu.....Hehe utajaribu na wangapi kaka? Ukizingatia vijana wa siku hizi ukishasema yes ameshafungua zipu
Sasa kitu pekee kinakutambulisha ww ni mzima ni UBONGO SIO MOYO.. NDIO MAANA HATA MTU AKIFA TUNAPIMA UBONGO SIO MOYO KWA MAANA MOYO UNAWEZA STCK..Tatizo unaforce tukubaliane na unachotaka wewe, kuna ndoa bila mapenzi? Hivi ukishasema unajitrain kumpenda mtu si maana yake akili hapo inatumika? Ni kwamba hapo akili inatumika kuushawishi moyo kuwa huyu mtu ni sahihi kwako lakini kuna wakati moyo unagoma kukubaliana na akili
Mapenzi si chama eti utahamia chama kingine, kama mtu unataka kuwa mke eti nitampenda taratibu haipo kwangu kama simpendi simpendi hata iwejeMapenzi ni popote, awe maskini au tajiri maadam moyo wako umependa jitose. Hizi assumption za kwamba eti wenye pesa hawana mapenzi ni za wanaume walioshindwa maisha wanatafuta kivuli cha kujificha
[emoji23][emoji23][emoji23] anaweza kufanikiwa ama kushindwa. Yote yapohapa dada nimezungumzia kujaribu kuzikabili hisia na kuendana na mtu.....
hayo ya kufunguana zipu ndio yanaweza kuwa kiini cha kufanya maamuzi pia,
Haha hakuna kitu kama hicho bwana. Umesema unatafuta mke wa pili hebu nioe mimi basi utajifunza kunipenda hukohuko ndaniSasa kitu pekee kinakutambulisha ww ni mzima ni UBONGO SIO MOYO.. NDIO MAANA HATA MTU AKIFA TUNAPIMA UBONGO SIO MOYO KWA MAANA MOYO UNAWEZA STCK..
NASISITIZA KWENYE MAPENZI RUHUSU AKILI ZAIDI YA MOYO.. MOYO UNAWEZA PENDA VITU VYA AJABU ILA AKILI HAIWEZI FANYA UPUUZI HUO..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo PMHaha hakuna kitu kama hicho bwana. Umesema unatafuta mke wa pili hebu nioe mimi basi utajifunza kunipenda hukohuko ndani
ndio kujifunza huko sasa [emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23] anaweza kufanikiwa ama kushindwa. Yote yapo
Eti jamani, unajilazimisha kupenda mtu mwisho wa siku kumbe alikuwa anapita tu njia hahaMapenzi si chama eti utahamia chama kingine, kama mtu unataka kuwa mke eti nitampenda taratibu haipo kwangu kama simpendi simpendi hata iweje
Sent using Jamii Forums mobile app
PM kufanyaje? Sema ndio au hapana hapahapa
Aisee utakuwa unaendeshwa na moyoMtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea
Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk
Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha
Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio
Hizo ni hasara nazoziona....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hahaKuna mwanamke nilishawahi kumtongoza akacheka. Eti
Hahaha. Hadi na leo sijamsahau. Imagine unamtongoza mtu upo serious kabisa umejilamba midomo na kusuuza sauti kisha anaishia kucheka eti hahahaha.
Daah maskini Moyoo..unasingiziwa vitu vingi sana...jamani uacheni Moyo usukume damu...Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisampido[emoji15][emoji848]Hahaha mzee baba huyo kisampido alikufanyeje...hebu funguka!
Hahaaa... Eti "tunagendaheka na ulimwengu"[emoji3]Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani
Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
Trust me kuna muda mapenzi yanagoma kabisa kujengeka. Angalau ndoa za wazee wetu ambazo unajikuta tu ndoani na huna option so unapambana na hali yako. Siku hizi tuna uhuru wa kuchagua tumtakaye; moyo ukigoma unauacha tu
ila muda wa kula kitimoto za Dar unao!
Hamna tajiri mwenye utu wewe, labda wa huko green city!
Ukiwa tayari kunipa hela yako bila kuumia rohoni ni-pm haraka kabla akina Witnessj hawajakunyang'anya nafasi[emoji847]Unapoint kabisa ila kunaswali napenda kukuliza kama dady na mamy wameweza wewe kwani usiweze maisha yanaisha eti next year is 2020 dah ! Mimi kwa sasa sintoringa tena nikapate familia yangu hata mwakani niitwe mama fulani.
Najitahidi niache utoto na ujuaji maana haujanisaidia mpaka leo naacha sasa kusikiliza chochote.
Moyo wala kichwa.
Ilimradi sifa zipo naolewa.
Ipo siku nitarejesha mrejesho nimeolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app