Yuko wapi wa kuvaa viatu vya Ruge?

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
4,543
2,000
Katikaa hili andiko mkuu umezunguka sana. Lengo lako hapa lilikua ni dai. Hakuna lingine. Ulitaka kumsafisha ukisahau na yeye alimtuhumu na kumdhalilisha sana ruge hata akiwa kwenye jeneza.

Ruge will always stand tall.
Mbona dai anashuka sasa?

Harmo hajatukana mtu. Na ametafuta sana amani ila ikakosekanika. Jamaa yako hajajibu kwasababu anajua dogo ana mengi zaidi yatamuharibia si kwamba amedharau. Aache kumfatilia dogo aendelee na mambo yake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
1,072

Hili la kusema anashuka nilishakukataza. Mtu aliyeshuka anafanana na diamond kweli?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,822

Asante..!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Rubuye123

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,266
2,000
Ushindi ni lazima uwepo uwe unataka au hautaki lakini uwe ni ushindani ambao ni Fair Competition. Hii tasnia ya muziki bado ina makando kando mengi sana achilia mbali wasanii wenyewe bado wana changamoto zao kibao, bila shaka Diamond pia anamtambua Ruge ni nani ? Hayo mambo amefanyiwa Tupac na Suge Knight kwenye mikataba iwe kwa Harmonize ?

Lazima tujifunze kitu kimoja kwenye hii Dunia kitu chochote usichokijua ni lazima ukilipie gharama kwa namna yoyote. Leo hii ukitaka kuanzisha biashara ya aina yoyote ile cha kwanza ni Gharama. Lakini sisi hizi gharama tunazozilipia tunaziona ni mateso na tunasahau kuwa mioyoni mwetu zinatusogeza kwenye ndoto zetu. Wabongo bado ni watu wanaogopa ushindani sana.

"Watu wanaokushauri ufanikiwe ukianza kuonesha juhudi na mafanikio kuwapita wao wanaanza kuona unashindana nao". Tunafanikiwa zaidi kwa kuwanyanyua watu.
'Fair Competition" is a myth.Hai exist kokote ulimwenguni.Actually hakuna kitu kama fairness kwenye eneo lolote kama utaweka kichwa yako vema na kufikiri,so usiitegemee kwenye maeneo yanayohusu hela HATA IWEJE!
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Hili la kusema anashuka nilishakukataza. Mtu aliyeshuka anafanana na diamond kweli?

Dimond hawezi kushuka ni level moja na burnaboy na wizkid, dimond anaweza kuijaza 02 arena ya london siku tatu mfululizo mbona hata show za marekani dimond watu walikua wanakosa hata pakutema mate au haukuona mkuu show ya dimond ilivotikisa marekani
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
1,072
2,000
Dimond hawezi kushuka ni level moja na burnaboy na wizkid, dimond anaweza kuijaza 02 arena ya london siku tatu mfululizo mbona hata show za marekani dimond watu walikua wanakosa hata pakutema mate au haukuona mkuu show ya dimond ilivotikisa marekani
bado hujajenga hoja mkuu ni utoto tu unajaribu kuongea. Ulitakiwa kusema hivyo endapo angekuwa alishawahi kufanya hivyo na sasa hawezi tena. Lakini bado huko hajafika na ndiyo kitu anapambania sasa.
 
Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
1,072
2,000
Msamehe, uwezo wa akili yake ndiyo umeishia hapo.
Ameandika as if siku za nyuma alikuwa akijaza O2 arena na sasa ameshuka anashindwa kujaza, anashindwa kutumia akili japo kidogo ya kuwa siku za nyuma walikuwa wakimshindanisha na Kiba na kwa sasa hilo limebikia kuwa historia tu kwani wamehamia kwa Wiz Kid na Burna Boy bila kugundua kumshindanisha na big names in Africa's showbiz industry inamaanisha amepanda sana viwango mpaka anakosekana wa kumshindanisha naye katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
kweli mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom