Yuko wapi wa kuvaa viatu vya Ruge?

Mimi sikulamba sukari

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,952
2,000
Ni kweli Mkuu ndiyo maana tunaona toka Rubby alipojitoa kwa Ruge amezidi kung’aa, na hivi Ruge kafariki so hawezi kubaniwa popote basi kazidi kufanikiwa sana sana sio Ruby yule...si ndiyo ehee.

Na yule Nandy aliekuwa anabebwa ndiyo kaporomoka hata hasikiki
Nandy hasikiki? Unaakili wewe!!
Wakati Nandy na Rubby, Nandy ndiye anatamba for now
Nandy yupo kwenye chart
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
15,279
2,000
Ruge alisoma USA hivyo brain yake iliandaliwa kutumika dunia ya kwanza.
Kwetu huku bado saana kutengeneza mtu Kama huyo

Kwahiyo statement yako ni kwamba wote waliosoma USA wako kama Ruge, Na wote waliosoma Tanzania hawawezi kuwa kama Ruge!!?

Ruge ni kati ya watu wachache waliojua kutumikia wito walioitiwa na Mungu. Alitumwa kufanya kazi na akafanya kazi, aendelee kupumzika salama shujaa muongoza njia🙏
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom