Albano Daud
Senior Member
- Aug 23, 2025
- 198
- 226
Gen z will overcome brutalisation of any kind and exploitation of any kind.
Amen.
Amen.
Hatimaye amepumzika kwa lazimaKabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na japo hawakumkuta lakini waliacha salamu. Ajabu kuanzia wakati huo hasikiki tena. Je, ni salamu zile zilimtisha au yuko busy akipanga mikakati mipya ya chama baada ya ushindi wa kihistoria wa chama chake?
View attachment 3506630
Wassira kaishiwa vocha!Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na japo hawakumkuta lakini waliacha salamu. Ajabu kuanzia wakati huo hasikiki tena. Je, ni salamu zile zilimtisha au yuko busy akipanga mikakati mipya ya chama baada ya ushindi wa kihistoria wa chama chake?
View attachment 3506630
Ana bahati sana, kwa pale Bunda ye ndio alikua Kituo chetu Cha mwisho , alitoroshwa usiku wa 29 Oktwalipita kumsalimia japo hawakumkuta 😂😂😂
But hawakuwepo walipigwa marufuku kufanya siasa. Walikuwa bize mahakamanNi kweli, ndiyo siasa za chadema hizo
Walipigwa marufuku na nani?..no reforms no election ni nini?But hawakuwepo walipigwa marufuku kufanya siasa. Walikuwa bize mahakaman
Mahakama ,mbona iko waziWalipigwa marufuku na nani?..no reforms no election ni nini?
Kesi ilifunguliwa na mwanachama mwrnzao, ulitaka mahakama ipindishe Sheria?Mahakama ,mbona iko wazi
Kesi ya mali za chama wakapigwa ban
Useme utakinukisha pasikalike halafu uachiwe?Viongoz wengi wakawekwa ndani
Jambo jingine wakati walijaribu kuvuruga uchaguzi mo29!?..unajaribu kutetea nini wewe!?NRNE ni jambo lingine kabisa, na hawakufanikiwa.
Yule alisema atakata vichwa amefunguliwa kesi ? Vipi burhan uvccm kwa kauli yake? Vipi wakuu wa wilaya baadhi waliowahi kutoka kauli hizo!Kesi ilifunguliwa na mwanachama mwrnzao, ulitaka mahakama ipindishe Sheria?
Useme utakinukisha pasikalike halafu uachiwe?
Jambo jingine wakati walijaribu kuvuruga uchaguzi mo29!?..unajaribu kutetea nini wewe!?
Atakata vichwa vya nani?Yule alisema atakata vichwa amefunguliwa kesi ? Vipi burhan uvccm kwa kauli yake? Vipi wakuu wa wilaya baadhi waliowahi kutoka kauli hizo!
Chama kizima kulikua mahakamani?..nrne haikuendelea mitandaoni?..heche hakukazia 'tutafanya kila kitu kuzuwia uchaguzi?..hao wacenge hawatokua na amani tena, lazima washughulikiweOh yes double standards, akitamka mtu wa ccm haguswi , nje ya hapo kesi.
Anyway turudi kwenye mada, kesi iliyofunguliwa iliwaweka bize
Mpaka leo mahakama imeishdwa ku prove kauli ya kukinukisha, mashahid wenyewe wana suasua.. ilikuwa ni valid case?
So chadema walipataje muda wa kuhudhuria maandamano wakati muda mwingi wako mahakamani?
Hawakuendelea hata na siasa za mtandaoni. Ndio maana akina heche na viongoz wengine waliachiwaAtakata vichwa vya nani?
Chama kizima kulikua mahakamani?..nrne haikuendelea mitandaoni?..heche hakukazia 'tutafanya kila kitu kuzuwia uchaguzi?..hao wacenge hawatokua na amani tena, lazima washughulikiwe
Niliomba picha za salaam alizopewa Wassira sio watoa salaam!! Kama tulivyoona za petrol stations.Siungi mkono hoja yako ya Picha, maana zime cost maisha ya wachache.
Salam ziendelee, ila update ni macho yako tu.
Chadema ilishiriki uchaguzi ?Ni kweli, ndiyo siasa za chadema hizo
🤣🤣🤣Gendaheka The Great.