Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

IMG_5134.JPG

Huyo hapo amekabidhi madawati juzi tu hapo wiki kama mmoja imepita. Uache umbeya fanya kazi hakuna dezo safari hii
 
Wako kimya wanawatumikia wananchi wao mnawafokonyoa, kama unatokea jimbo lake na unahisi hawajibiki ndo uje hapa kulalamika, hayo mengine ni maisha binafsi jamani, Na hao watu wa PWANI Wamekuja kukuomba kula baada ya kukaa vibarazani???
Achana nae huyo amekariri!! Hivi mtu akae barazani kutwa nzima chakula unampelekea wewe?? Nyumba umemjengea ww??

Wasukuma wenzake huko Kanda ya ziwa ndo wanaongoza kwa umasikini kwa mujibu wa tafiti
 
View attachment 389718
Sikusikii tena kwenye media kama ilivyokuwa enzi za utawala wa baba yako nini kimekupata?

Nilisikia wanatangaza mikoa masikini Tanzania yote kutoka kanda ya ziwa sikukuona hata ukitokea kuwatetea Wanachi wa pwani ambao wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa

Hivi kweli ulikubali kuwa Mwanza ni masikini kuliko Pwani?

Wanachi wa pwani wanaoshinda vibalazani wanapiga story ndio waje wawe matajiri kuliko Mwanza ??

Nini tatizo umepotea kwa media?
Hata bunge lililokuwa Giza sikuona jitiada zako kuwasemea wanyonge wa pwani?

Au tumbua majipu imekukumba?

Au ulitaka nafasi ya uwaziri ikakosa ukasusa??

Bado sijaelewa nini Tatizo?

nipo jimboni kwangu nashirikiana na wanachi wangu kuleta maendeleo!
 
we unadhani pwani tumelala kama watu wa mwanza wamekalia chagulaga mayo! sisi tunashinda vibarazani wakati huohuo mananasi yanakua,mihogo inakua au ulitaka tulale shamba au tukatembee mlimani city kama wasukuma wanavyoenda kupiga picha rock city mall!
 
Haaaaaah kituko hiki hivi nawewe unakubali Mwanza ni masikini kuliko pwani?
 
hapo imechukuliwa takwimu za mkoa mzima sio za mtu mmoja mmoja au sehemu fulani,kwa hiyo kama unaelewa vizuri hesabu za wastani utajua tu mwanza ni kubwa kuliko pwani kwa hiyo automatically wakipiga hesabu za majority lazima utaonekana ni mkoa masikini kuliko pwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom