Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Yuko wapi Ridhiwani Kikwete?

Kitendo cha baba kumaliza muda wake hata ile nguvu ya mtoto
machoni mwa watanzania inapungua. Kumbuka watoto wa Nyerere kipindi cha Nyerere. Riz hata kama anapesa nyingi kiasi gani kama hata zitumia kwenye miradi ya kumletea maendeleo na kulipa kodi zitaendelea kupungua na kwisha thamani na yeye akifuatilia. Pesa ya wizi haizai. Maana utaogopa kuitumia kihalali.
 
Alidisco akaokolewa the current AG. under the sun everything is possible.
 
Riz MKUU wetu njoo dar chalinze waache malofa hao wapiga kura wako njoo dar ule nchi mkuu
 
Mkuu hiyo kamuulize makonda atakupa jibu mujaraabu
tatizo lako kichwa chako hua unakichomeka kwenye shimo la choo ndio maana unaandika upupu every now and then try and write some senses you imbecile..
 
Naomba kujua aliko mwanaccm mwenzangu Mh.Ridhiwan Kikwete.Mbunge wangu umekuwa kimya sana .
 
Naomba kujua aliko mwanaccm mwenzangu Mh.Ridhiwan Kikwete.Mbunge wangu umekuwa kimya sana .

Kaishiwa pozi muwakilishi wenu, alikuwa ananyemelea Uwaziri na sasa amekosa!

Ridhiwani rejea Jimboni mkuu, mpaka umefunguliwa UZI kabisa siyo Poa mkuu!
 
Naomba kujua aliko mwanaccm mwenzangu Mh.Ridhiwan Kikwete.Mbunge wangu umekuwa kimya sana .
Mmama Yetu Salma pia simsikii. Kumbe nguvu ni ya dola na siyo mtu binafsi, personal initiative, self esteem and the like!
 
Yupo Anakula mabilion yake.....

Ovaa
 
Naomba kujua aliko mwanaccm mwenzangu Mh.Ridhiwan Kikwete.Mbunge wangu umekuwa kimya sana .
hana mtetezi bungeni si unajua alipitia mlango wa kushoto,so hana pointi bungeni ndio maana silence imemtawala sana
 
Hili sio jukwa la ccm, nenda ofisi za ccm pale msoga utampata kiurahisi
 
Jaribu kwenda Chalinze, facebook, Istagram na Twiter huko pia hakosekani, au unahamu tu kusikia akisemwa ya kweli na ya uongo? MWENYE USHAHIDI AENDE MAHAKAMANI...au Mange tu akiongea ndo awe na ushahidi nyinyi mkiongea muaminiwe, msitujazie server.
Vipi hujaamboo wewe mrembo?
 
Acha wapumzike kazi walioifanya sio ndogo! Wameifanya nchi imekuwa hovyo na kama haina mwenyewe! Wameteneneza mitandao wa wezi wa mali ya umma kila sehemu! Wafanyabiashara walikuwa hawaguswi na hawalipi kodi hasa mafuta na containers za wafanya biashara wa kariakoo! Ule usemi wa zamu yetu hatukuuelewa mwanzoni
well said.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom