mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,711
Yuko busy na kukusanya Korosho kwa wapiga kura wakeHabari za jumapili wakuu.
Ndugu zangu Wapemba poleni na kadhia mnayokutana nayo kwa sasa Mungu yupo nanyi.
Leo nimemkumbuka Prince wa zamani wa Nchi hii, ambaye alikuwa na kauli nzito na za kichochezi katika utawala uliopita hata kudiriki kutuambia Rais ajaye hatatoka KASKAZINI.
Ni muda mrefu sasa Ridhiwani J. Kikwete hajasikika au kuonekana kwenye media walau basi hata kuzungumzia utawala wa JPM.
Je yuko wapi Mbunge huyu wa Chalinze kwa sasa?