Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

Huyu dogo namshangaa sana.
Badala ya kumuoa mzee Halima ambaye kichwani Kuna madini halafu Yuko RIPE na pesa si haba anakwenda kuchumbia Kongwa. Je Kama binti karidhi akili ya kiumeni?
 
Jamaani kwa anayejua,hivi mh. Peter Lijualikali yupo wapi kwasasa? Na anajishughulisha na nini?

Je, bado yupo kwenye siasa?

Bado anandoto ya kuendelea na siasa au amekata tamaa baada ya Mwendazake?

Pia kama Lijualikali upo unaweza kutujibu wenzako.

Tumekumisi sana mkuu.
 
Aliokotwa na Mbowe chokolaa baadaye akajiona mjanja na mapimbi wenzie kununuliwana na Jiwe daylight human trafficking openly . Yupo choka mbaya baada ya mataga wajanja kumdanganya auze nyumba yake awape hela wamshawishi Jiwe ampe ukatibu mkuu wa wizara , hela wamelamba jiwe kawa mwendazake amebecone homeless and street child.


Screenshot_20210507-013740.png
 
Jamaani kwa anayejua,hivi mh. Peter Lijualikali yupo wapi kwasasa? Na anajishughulisha na nini?
Je bado yupo kwenye siasa?
Bado anandoto ya kuendelea na siasa au amekata tamaa baada ya Mwendazake?

Pia kama Lijualikali upo unaweza kutujibu wenzako.

Tumekumisi sana mkuu.
Kawa konda pale Msamvu
 
Kama wiki mbili zilizopita nilimwona hapa mjini ifakara. Alikuja kwenye moja ya mashine za kukoboa mpunga nadhani alikuwa na mzigo wake pale.

Hakuchangamkiwa na watu kama nilovyozoea kumwona. Kwa kweli kwa sasa anajisikia aibu. Anavaa miwano ya jua muda wote. Na zile kofia za matapeli. Kwa anayemjua ndumilakuwili wa gazeti la sana ile kofia anayovaa.

Pia kwa sasa ana kipara kikubwa tu.
Kwa kifupi hana jipya.
 
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

View attachment 1776096
Hakuwa mbunge wa Morogoro, alikuwa wa Kilombero, mkoani Moro! Kuhusu alipo, kwani ile kazi ya kufagia choo, ccm walimkatalia!?
 
Back
Top Bottom