Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

Huyu na mama Susan Kiwanga walinyanyaswa sana na serikali wakiwa wabunge. Ila najua baada ya kuunga mkono juhudi mama Kiwanga alimshangaa huyu dogo.
 
Huyu jamaa nj mmoja kati ya vijana wajinga kabisa kuwahi kutokea.
 
Pesa wanayo ipata wabunge hawez kushindwa kufanya biashara zake labda kama n boya
 
Hahahahaaa waliyataka sasa wameyapata dhambi ya usaliti malipo yake ni hapa hapa
Kabisa mkuu walijiona wao ni bora kuliko cdm.
Bahati mbaya kwao aliyewarubuni na kuwadanganya sasa hivi kesha kwenda zake.
 
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

Tatizo hawa vijana huwa hawajifunzi game la siasa kutoka kwa wazoefu,
Kijana alitaka kukimbia kabla hajatambaa,
Sasa hv sizani kama anaweza hata akampigia cm Jenesta Mhagama
 
Tatizo hawa vijana huwa hawajifunzi game la siasa kutoka kwa wazoefu,
Kijana alitaka kukimbia kabla hajatambaa,
Sasa hv sizani kama anaweza hata akampigia cm Jenesta Mhagama
Labda ampigie mzee Halima amtumie vocha
 
huyu bwege mwaka fulani akiwa mbunge enzi za jpm, aliwahi kutembelea ofisi za taasisi ambayo mimi nafanyia kazi.

kwa kiherehere changu nikamuomba kupiganae selfie cos nilitokea tu kuvutiwa na harakati zake za kisiasa.

alipoanza tu kutumika na ccm na kuanza kulialia bungeni kama mtoto, mvuto wake kwangu ukatoweka na ile picha niliifutilia mbali.
 
Back
Top Bottom