Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,868
2,000
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

View attachment 1776096
Hakuwa mbunge wa Morogoro, alikuwa wa Kilombero, mkoani Moro! Kuhusu alipo, kwani ile kazi ya kufagia choo, ccm walimkatalia!?
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,399
2,000
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

View attachment 1776096
Huyu pimbi alikuwa hajui hata miwani inavaliwaje.

2765430_BAVICHA_amp_CHASO_on_Instagram_Enzi_hizo_Lijuakali_hapajui_mjini._0A0ALeo_anamtukana_M...jpg
 
kashimbe

Member
Jun 10, 2020
93
400
Chizi huyu yupo hapa ifakara anazungukazunguka tu na kanzu. Magu alimuahidi uDC awamu ya pili sasa kafa nae hana chake kaishis kumuoa binti wa ndungae tu halafu nani alikwambua huyu ji mwanasheria? Labda bush lawyer.
Kunywa na soda braza,huyu Bush lawyer
 
kashimbe

Member
Jun 10, 2020
93
400
Huyu bwege aliokotwa majalalani na Mbowe,kisha akamsaliti na kumzushia vitu vya uongo,Mungu yupo,acha avune alichopanda
 
mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
762
1,000
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono yupo dodlma
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

View attachment 1776096
Yupo Dodoma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom