nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Siyo hukuAmalia mbele ya baba mkwe?
Akiwa na mkewe faragha atafanya Nini?
Siyo hukuAmalia mbele ya baba mkwe?
Akiwa na mkewe faragha atafanya Nini?
Ni hapa hapa piaSiyo penyewe..... umeikosea
Afadhali kidogo kuliko kuiuzaIpo naona kawakodishia watu wa PLAN
Duuuuh poleeh yake.Hana ujanja huo yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaa akifinyiwa ndani sijui itakuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo SAUT huku,karejea ajira yake ya zamani ya UKUTUBI pale Malimbe Cumpus
We mkaliNi hapa hapa pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko naye kijiwe kimoja cha bodaboda hapa kapeleka mteja anarudi muda sio mrefu.
Huo uanasheria lijualikali ameutoa wapi?Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.
Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.
Ajiunge na CHACHANDUAlitumiwa na Ndugaye kuichafua cdm na baadae yeye akatupwa kwenye dust bin
Chama cha baba mkwe wake?[emoji23][emoji23][emoji23]Ajiunge na CHACHANDU
Naam,sheheChama cha baba mkwe wake?[emoji23][emoji23][emoji23]
huyu bwege mwaka fulani akiwa mbunge enzi za jpm, aliwahi kutembelea ofisi za taasisi ambayo mimi nafanyia kazi.Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.
Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.
Peter sio Mwanasheria huyu ni Librarian alitokea pale Ifakara college of Health kuingia kwenye Siasa kuanzia Udiwani Mpaka Ubunge.Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.
Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.
Ni librarian Mkuu.Mkuu nitumie no yako baada ya mwenzake naamini ile biashara yetu itafunguka.Maana siku nimeenda kwa Malapa na mzigo kanigomea getini kumuoggopa Mwendazake.Mwanasheria wakati taaluma yake hajawahi ifanyia kazi
Ova