Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.

Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.

Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Yupo tele. Kama dagaa was Lake Tanganyika.
 
Yupo tele. Kama dagaa wa Lake Tanganyika.
 
Makamo wa rais>Ni kiongozi /Nafasi ya pili Kwa madaraka katika Jamhuri ya Mungano wa Tanzania. MAJUKUMU YAKE AU WAJIBU WAKE. 1.Atafanya KAZI zote kama atakavyooelekezwa na raisi hapa tuelewana ......kama raisi atakavyompangia .hii Nafasi ni madara makubwa Ila Kwa mtazamo wangu Bora hata waziri anaweza foka (hapo naona nyerere kuna Mambo aliyawaza .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu aliyeonekana alikuwa Gharib Bilal bwana,,hizi kazi za kutembea na mkasi alikuwa anafanya makamu,siku hizi zinafanywa na Rais mwenyewe,kila uzinduzi Rais yumo,Makamu hawezi shine kwa namna yeyote
 
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.

Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.

Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Nimerudi home Burundi Mkuu
 
Huyu wa sasa ni mgonjwa tu wala tusipepese macho. Kukaa kwenye oxygen machine kwa kipindi kile kulimuachia kilema ndani kwa ndani
Na akidedi Meko anahusika. Haiwezekani umtoe mtu ICU aje aongee na waandishi kuwathibitishia eti hana Corona. Wale wadudu hawanaga masihara na vigogo na matajiri...
 
Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Wanaosikika ni Rais,, Rais ZnZ, Waziri mkuu, Makamba na Mwigulu huyu ndugu Makamu amepotezewa labda hahitajiki
 
Back
Top Bottom