Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

Maisha yanaenda kasi sana! Sasa hivi yupo sehemu anajutia kiburi na ufedhuli wake!

Alikuwa akisoma comments maarufu za Gen Z wapiga nyeto mitandaoni na wafuasi wa CDM:_
'Akili kubwa!...
Mkombozi!...
'Bonge la kiongozi',...
'Wenye akili ndogo hawawezi kukuelewa'..
huyu ndio alifaa kuwa Rais.......',

Akajiona tayari bonge la kiongozi, akaleta dharau, akaanza kuenda opposite na kiongozi wake! Akaanza stori za kujipendekeza kwa mwehu Maria Sarungi kwa kummwagia sifa.

Akadhani akijiuzulu nchi itatikisika!

Siku mbili tu watu wameshaanza kumsahau.
 
Kwahiyo ulitaka awe chawa?
 
Usimalize maneno mkuu.
Mwaka 2030 mbali sana. Hiki kiburi cha kipato ni ubatili tu.
 
Hata kama hatujui aliko lakini Maneno yake aliyosema yanaishi na yataendelea kuishi katika kizazi hiki cha Watanzania na vizazi vinavyokuja! Kwamba alikuwa mwanachama wa CCM:
1.Kupinga utekaji na mauaji ya wananchi
2.Kupinga chuki za kisiasa kati ya vyama
3.Kupinga watu kuwekwa mahabusu kwa uonevu
4.Kuwataka Watanzania kupigania Katiba Mpya kwa faida ya Watanzania na vizazi vyao.
 
na watakaomdhuru nao watadhuriwa. ni swala la muda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom