Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,193
- 9,811
his silence is for the best. Nothing good ever comes out of the guy's mouth other than hypocrisy and butt kissing for positions. He is not banned, he was just dismayed by the position given to him, given all the confidence he had of being offered a major ministry. Rumours had it that he had even planned for his cabinet as he was certain of being the premier only to be dumped in a very trivial ministry.
Zinapita siku, wiki, miezi na hata mwaka unaisha sasa bila kumwona au kumsikia Kijana Machachari na makini Januari Makamba katika duru hizi za siasa ya awamu ya tano.
Kwa wanaomtambua Makamba wanaelewa uwezo wake wa kucheza na siasa za Tanzania kama alivyo Lowassa enzi za ujana wake. Ni kijana ambaye hutulia pale ambapo hupatwa na misukosuko ya kisiasa na kujipanga upyaa. Pamoja na kwamba mimi ni moja ya watu wasioipenda CCM lakini Makamba ni hazina safi ambayo hata ukienda upinzani utampata mmoja au wawili wanaofanana naee.
Nakumbuka sote tulioshiriki katika uchaguzi wa mwaka jana tulivyo ona mipango ya ushindi wa Magufuli chini ya kijana huyu. Lakini sijui kimetokea nini mpaka kijana huyu machachari kupotezwa kwenye siasa na kutuipwa wizara mfu.
Niseme wazi kwamba pamoja na figisufigisu za kijana huyu mwaka jana lakini ni Hazina pekee ya mipango iliyosalia CCM. Hakuna kijana ambaye unaweza mfananisha na Makamba ndani ya CCM leo, sio Mwigulu wala Kigwangala. Huwezi msikia Makamba katika mihemko na mwendokasi wa hovyohovyo.
Najua wengi wanamlaumu Makamba kwa Bomoabomoa ya mabondeni ilivyofanyika, lakini ukweli ni kwamba bomoa bomoa ile ilifanywa na Lukuvi na Majaliwa.
Magufuli ameshindwa kumtumia Kijana huyu katika wizara kubwa hapa nchini na hii ndio inawezakuwa sababua kuyumba kwa serikali yake. Makamba alipaswa kuwa wizara ya Mambo ya nje au Waziri Mkuu.
Je huu ni mwanzo wa kufifia kwa Makamba katika siasa?
Makamba alikosa nini hasa kwa mtukufu Rais mpaka akapewa wizara ile?
Is makamba political Banned???
Karibuni kwenye mjadalaa, matusi, vijembe, hekima na busara ni haki yako, sio uchochezi.
Hivi viingereza jamani,dah...au ndo invention ya Mtukufu?For him to remain relevant politically he had to accept the position in hopes of moving ranks. But as days are going the only moving that will be imminent will be he is being sacked.
Wakati wa kampeni alizipiga bilion 1.7 zote peke yake kwa visingizio kuwa kazitumia kwenye propaganda za kumchafua Lowasa na Ukawa , magufuli hakutaka kumpa uwaziri mpaka alipopewa shinikizo na JK na kinana kwani wanajua bila kamati yake ya ufundi, uchakachuaji na maujanja na Fitna CCM wasingeingia ikulu , wizara ya muungano kuna Pesa nyingi za mazingira, kero za muungano nk huko Pesa unakula bila mtu kukushitukia ndiyo maana yeye anaipenda hiyo wizara bajeti ya kero za muungano ni ulaji kwani kero zipo na haziishi lakini Pesa unatoka na kupigwa , kumbuka Yule mzungu mtaliano anamdai Dola milion moja , Dili la sugu alimpora, magufuli anamjua vyema hata huko alipo kaamua kufumba macho vinginevyo January alipaswa awe nje kabsa .Zinapita siku, wiki, miezi na hata mwaka unaisha sasa bila kumwona au kumsikia Kijana Machachari na makini Januari Makamba katika duru hizi za siasa ya awamu ya tano.
Kwa wanaomtambua Makamba wanaelewa uwezo wake wa kucheza na siasa za Tanzania kama alivyo Lowassa enzi za ujana wake. Ni kijana ambaye hutulia pale ambapo hupatwa na misukosuko ya kisiasa na kujipanga upyaa. Pamoja na kwamba mimi ni moja ya watu wasioipenda CCM lakini Makamba ni hazina safi ambayo hata ukienda upinzani utampata mmoja au wawili wanaofanana naee.
Nakumbuka sote tulioshiriki katika uchaguzi wa mwaka jana tulivyo ona mipango ya ushindi wa Magufuli chini ya kijana huyu. Lakini sijui kimetokea nini mpaka kijana huyu machachari kupotezwa kwenye siasa na kutuipwa wizara mfu.
Niseme wazi kwamba pamoja na figisufigisu za kijana huyu mwaka jana lakini ni Hazina pekee ya mipango iliyosalia CCM. Hakuna kijana ambaye unaweza mfananisha na Makamba ndani ya CCM leo, sio Mwigulu wala Kigwangala. Huwezi msikia Makamba katika mihemko na mwendokasi wa hovyohovyo.
Najua wengi wanamlaumu Makamba kwa Bomoabomoa ya mabondeni ilivyofanyika, lakini ukweli ni kwamba bomoa bomoa ile ilifanywa na Lukuvi na Majaliwa.
Magufuli ameshindwa kumtumia Kijana huyu katika wizara kubwa hapa nchini na hii ndio inawezakuwa sababua kuyumba kwa serikali yake. Makamba alipaswa kuwa wizara ya Mambo ya nje au Waziri Mkuu.
Je huu ni mwanzo wa kufifia kwa Makamba katika siasa?
Makamba alikosa nini hasa kwa mtukufu Rais mpaka akapewa wizara ile?
Is makamba political Banned???
Karibuni kwenye mjadalaa, matusi, vijembe, hekima na busara ni haki yako, sio uchochezi.
January ni Mzee wa fursa mfano sasa hii issue ya UKUTA tayari kachukua Pesa kwa ajili ya kuwachonganisha ukawa , kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi alipiga Pesa ndefu kwa ajili ya uchakachuaji , yy popote alipo anapiga Dili hata angekuwa waziri wa kivuli angepiga Pesa .Hiyo wizara aliyopo akiropoka tuu kawasha moto bara na visiwani after law serikali ya kazi tuu iko zaidi kujikita kijeshi na kiiterejensia so makamba kaambiwa awe mpole kwanza ndio atapunguza wapinzani wake wa ugombea.
Hao aliwateua kwa shinikizo la JK na kinana lakini magufuli binafsi hawakubali moyoni .Hata katibu mkuu wa chama Magufuli kagoma.?
Endapo kama January angekuwa waziri mkuu basi mh.rais angefeli sana kwa kuwa falsafa za makamba haziendani na za magufuli hata kidogo.Ila alimsaidia sana Magufuli kufika alipofika leo na Magufuli amejihisi kuwa hatokuwa mbora wa fadhila asimpomteua,ila naye magufuli kama kalazimishwa vile kwa teuzi ya January na Mosses wa Nape.?
Wasiokupenda wanapojitokeza Mchana KWEUPE peeeee!his silence is for the best. Nothing good ever comes out of the guy's mouth other than hypocrisy and butt kissing for positions. He is not banned, he was just dismayed by the position given to him, given all the confidence he had of being offered a major ministry. Rumours had it that he had even planned for his cabinet as he was certain of being the premier only to be dumped in a very trivial ministry.
Kama mimi navyodharau nyumbu za chadema.nimekudharau
Makamba hana tatizo lolote na Magufuli. Kaamua tu kupunguza maneno ya watu kwa stahili hii ila anapiga kazi sana wizarani kwake.makamba bora akae kimya kwani anawindwa sana ila namsifu ni mwanastrategia mzuri sana
Yule dada sio mchezo! Aliwarusha Sana rohoNakubaliana na wewe , makombora ya Mange kimambi yamemtuliza yule mwizi wa kura
Na mbaya zaidi kuna kipindi alimkashifu JK kwa kuponda staili yake ya uongozi.Makamba si doomed
Kwanza boss wake 'hampendi'...
pili ana maadui wengi ndani na nje ya ccm
Mtu pekee wa kumsaidia alikuwa JK....