Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,638
- 2,720
Naona kaamua kutulia upepo mbaya upite...
Mistari yako mi3 ya mwisho, huo ndio ukweli! Anazikwa mdogo mdogo. Magu akifanya usajili wa dirisha dogo, huyu akibaki ntaamini HIRIZI KIBOKO!February marope akicheza vibaya na Ngosha anaisha kisiasa! Hana mizizi ya maana kwenye chama lakini na muona kama ana kiburi fulani hivi! Ngosha sio kwamba anahangaikia na wapinzani wake wa nje pia anamonitor nyendo za wapinzani wake ndani ya chama! Nadhani anajua ndio maana hata wizara aliyopewa sio ya kumfanya asikike sana! Akili kichwani
Wizara aliyopewa ni muhimu lakini kwake ni somo gumu kulielewa. Ilikuwa rahisi kupigania masrahi ya wasanii maana haihitaji shule, lakini hapo alipo, Dah! Itamchukuwa miaka 5 kabla hajaelewa tafsiri ya mazingira.February marope akicheza vibaya na Ngosha anaisha kisiasa! Hana mizizi ya maana kwenye chama lakini na muona kama ana kiburi fulani hivi! Ngosha sio kwamba anahangaikia na wapinzani wake wa nje pia anamonitor nyendo za wapinzani wake ndani ya chama! Nadhani anajua ndio maana hata wizara aliyopewa sio ya kumfanya asikike sana! Akili kichwani
Kwani muasisi wa hapa kazi tu ni nani?Kwani hata wale walioanza uwaziri kwa mbwembwe na kusimamisha watumishi kila uchao unawasikia tena, aah natania tu.Ila dhamira ya KWELI ya Hapa Kazi Tu anayo muasisi wa hii kauli mbiu tu na sisi akina Yohana lakini kule juu mhh mhh
AMEKURUPUKA KUKAA KIMYA SISI TULIPANGA KUWA KIMYA 2019 NAONA JUMA 2 KWENYE AZAM TV HATA LOWASA ANASEMA JK HAONEKANI HEWANIWatu mnamaneno... alikuwa mnyika haongei, tumeanza kwa January... haya endeleeni mkizinduka si tunasonga mbele...
Yah Jamaa ni kama kafichwa hivi!February marope akicheza vibaya na Ngosha anaisha kisiasa! Hana mizizi ya maana kwenye chama lakini na muona kama ana kiburi fulani hivi! Ngosha sio kwamba anahangaikia na wapinzani wake wa nje pia anamonitor nyendo za wapinzani wake ndani ya chama! Nadhani anajua ndio maana hata wizara aliyopewa sio ya kumfanya asikike sana! Akili kichwani
kwa kosa lipi?Atakuwa na majipu mengi.
Anaogopa kutumbuliwa