Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
916
752
Salute.
6d3a02155a73e84a61b946361b44ac7f.jpg

Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana tatizo la kwenye ubongo ambalo hawezi kurudi Katika hali ya kawaida tena Katika maisha yake. Ila ni mambo ya kifamilia hayo.Hata Muhimbili waliligundua hilo na hata kwenda India ilikuwa haina maana kwasababu ni tatizo ambalo ukipata halina tiba zaidi ya palliative care tu.

Alipelekwa tu India na Serikali kwasababu wakati ule kundi lilikuwa maarufu na ilionekana kama viongozi wanapelekwa India why not Wasanii lakini kitaalam walikuwa wanaojua nothing new will be detected or diagnosed.

Yuko Kigamboni kwa Babu na baadhi ya ndugu zake wakimpa msaada pamoja kundi lao la OK likiongozwa na Masanja Mkandamizaji.

Ila inasikitisha sana.
 
Mkuu huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Mbona alikua poa tu mara akaanza kuumwa?

Anyway jamaa alikua anapatia kuigiza ugonjwa wa mh Mrema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom