Yuko wapi Johnthebaptist?

Bado hajajitokeza tu Mzee mgaya??
Sa hivi zingekuwa zimepanda nyuzi kama Tisa hivi huku tukimalizia na Sabato njema...

Au ndio Kwaresma..
 
Sa hivi hana ishu kile kitengo kapewa mwingine
 
Alikuwa anakunywa sana visungura halafu anapozea na safari lager na alikuwa anakunywa mchana kutwa na alifika stage hataki kula anadai chakula kinakata stimu zake hadi nywele zilianza kunyonyoka,tumuombeeni member mwenzetu.
Member yule tume mmisi sana Lumumba Experienced
 
Moja kati ya vizee vijinga vijinga vilivyopo pale Lumumba naye huwa yumo na huyu ndio alikua anatoa mapendekezo kuhusu maigizo aliyokuwa anafanya Makonda baada ya kurudishwa kwenye uongozi mara kuingia na mikokoteni, punda , pikipiki kwenye ziara zake zile za uenezi wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…