Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

Yupo nchi moja huko bara la Amerika, mama yenu wanasuka mipango ya kumpa nchi Emmanuel Nchimbi.

Hizi ni za ndani kabisa, mama yenu huu mwaka hatoboi.
 
Ulichokiandika umekifikiria?
Aliyesemaa hawafundishi watoto kuwa raia wema ni nan?,
Na kwanini wewe uulize kwanini wakemee?
Means unabariki matendo maovu?

Hao watoto wakifundishwa uraia wema , alafu wakaja kukuta viongozi wao ni wabinafsi, hawako kwaajili ya maslahi ya watu na nchi, ufisadi, uuwaji, utekaji, kwaakili yako mtoto (mtu mzima) gani atakuwa na mapenzi na nchi yake?
 
Hii ni nonsense boss umeandika
 
Gentleman,
kwani dhuluma za kingono ni haki, right?
Thibitisha was

Mke wangu Floriani akiona hii nonsense atasikitika sana
 
Wa nini mkuu. Atakuwa anapotakiwa kuwa tu.

Hadi ufikishe wangapi, au idadi uliyopewa haijatimia Kiongozi wangu
 
Wa nini mkuu. Atakuwa anapotakiwa kuwa tu.

Hadi ufikishe wangapi, au idadi uliyopewa haijatimia Kiongozi wangu
kwani yale makelele yaliyosababisha waamini wa kanisa lake katoliki kumgomea kwa maandamano mpaka ubalizi wa Vatican ameyamaliza yote?.

na je,
hapo ndipo alitakiwa kua au?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…