Magufuli alisemwa na Wakatoliki wenzie,vp hatukuona huo udini?lakini gentleman,
ni wazi kwenye suala la udini ni kama kuna kaukweli fulani hivi, hasa ukilinganisha na mazonge zonge ya tawala zilizopita na hawa majamaa yalikuwepo kimya yametulia tuli, yanatazama tu alie wa dini yao akifanya yake mbele yao 🐒.
si kweli,Magufuli alisemwa na Wakatoliki wenzie,vp hatukuona huo udini?
Hii kitu usiiseme!!! Ni mbaya hakuna tiba, unazeeka dakika moja tu. Mungu apishe mbali wasiwe wameipataIle polonium kutoka russia mr gentleman mmeihifadhi wapi?
Acha ujinga tuachie kanisa letu, nonsense woman . wakatholiki wamekukosea nini?Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Akili yako siyo sawa. Una matatizo kichwanisi kweli,
unapotosha ukweli na wadau wa Jf kwa ujumla.
hayupo mtu, taasisi au chama cha siasa nchi hii kiliethubutu au kuwashwawashwa kuinua mdomo wala kumnyooshea kidole mkono wa chuma hayati Dr.J.P. Magufuli gentleman 🐒
zile nyaraka hukuona?,au wewe ndo mpotoshaji pro...nyie bakini na imani kwamba mkikosolewa ni kwa sababu ya dini yenu...kwa hiyo dini inaruhsu watu watekwe?..kama hivyo ni sawasi kweli,
unapotosha ukweli na wadau wa Jf kwa ujumla.
hayupo mtu, taasisi au chama cha siasa nchi hii kiliethubutu au kuwashwawashwa kuinua mdomo wala kumnyooshea kidole mkono wa chuma hayati Dr.J.P. Magufuli gentleman 🐒
sina haja na mlei yeyote yule ndani ya kanisa hilo, ispokua hao mashetani wa madhabahuni na mashahidi wa uongo niliowataja hapo juu.Acha ujinga tuachie kanisa letu, nonsense woman . wakatholiki wamekukosea nini?
mwenye akili sawa mbona una mihemko tu na uko pointless?Akili yako siyo sawa. Una matatizo kichwani
Unaitaje neno maovu wakati nanyi mnafanya?kwanini nithibitishe mambo maovu obvious ndugu mdau? sidhani kama kuna sababu ya maana hata moja ya kufanya hivyo. Acha imtafune mwenyewe dhambi hiyo dhalimu na ya udhalilishaji,
by the way,
nimetoa ushauri mujarabu bure kabisa kwa wadau wote wa JF kua careful dhidi ya uovu unaojificha kwenye wema now days,
ikiwa sio muhimu, try careless na itapendeza zaidi ndugu mdau 🐒
Gentleman,Tlaatlaah unatumika vibaya, hata kama unafaidika na huu utawala LAKINI zingatia kuwa heshima nikitu cha msingi ,
kanisa lina uhuru WA kutoa maoni yake kupitia Kwa viongozi WA kanisa kama Dr Kitima .
Hivi kama WA Tanzania wanatekwa na kuuwawa kanisa likae kimya kweli? Viongozi wakanisa katholiki ni wasomi wanauwrzo wakujenga hoja ndicho kinacho kuuma gentle woman , umwewazoea viongozi wadini mbumbu na mchawa wenye njaa wanahidhuukia vikao vya kulipwa posho hongo. Ila Kwa wakatholiki mmekwama.
Bahati mbaya Mimi SI mwanasisa ila kwenye dhehebu langu nitakujibu Kwa vyoyote vile acha dharau
nilimuona Baba Mtakatifu Leo akiwa Hispania,Unaitaje neno maovu wakati nanyi mnafanya?
Wewe ni manipulator ni mnafiki
Hakuna mtu mchochezi, kwanini viongozi wa dini wakikemea rushwa, ufisadi, utekaji nyie mnaiita uchochezi? Thats why nakwambia wewe ni mnafiki , kuna waovu kule juu hawataki uovu wao uonekane uovu , wanajificha kwenye kivuli cha kuita uchochezi, hakuna atakae keti upande Mungu kama ambavyo mnaamini ikiwa nanyi hamkemei maovu.nilimuona Baba Mtakatifu Leo akiwa Hispania,
alikeamea sana viongozi wa dini wachochezi lakini pia mapadre na maaskofu wenye mapepo ya ngono wanaoendekeza ulawiti na dhuluma za kingono kwa vijana wa kike na kiume ndani ya makanisa ya kikatoliki.
hawa wa hapa Tanzania ni wachochezi wa kisiasa na washiriki dhuluma za kingono kisiri na kujivika utakatifu feki madhabahuni
kwanini wakemee?Hakuna mtu mchochezi, kwanini viongozi wa dini wakikemea rushwa, ufisadi, utekaji nyie mnaiita uchochezi?