Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,
kwenye madhabahu wamekwama au?
maana madhabahu haihitaji unafiki 🐒
Ni kweli mnalipwa, ni kweli kabisa bila kuandika chochote mtaonekana hamfanyi kazi lakini mbaya zaidi maandishi kama haya yasipoonekana pengine fungu lenu litapelekwa kufanya kazi nyingine au kuliwa na wachacheNa je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Tanzania in Dar Es Salaam Diocese, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi Diocese, na Rais wa TEC, bado anaandikiwa cha kusoma kwenye vyombo vya habari na Fr.Kitima binafsi, eti kwa niaba ya TEC?
Au mapigo ya walei Lucy Michael na mwalimu wa dini makini sana, katekista Joseph Ludivick wamewapiga knockout ya kisiasa mbele ya madhabahu?
Au changamoto zimeisha Tanzania? Kwanini wameufyata mkia kwa mwendo wa ngiri, mashahidi hao muhimu sana ikiwa kutakua na kesi ICC?[emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Ni kweli mnalipwa, ni kweli kabisa bila kuandika chochote mtaonekana hamfanyi kazi lakini mbaya zaidi maandishi kama haya yasipoonekana pengine fungu lenu litapelekwa kufanya kazi nyingine au kuliwa na wachache
Lakini hiyo njaa isiwe sababu ya kujiabisha kiasi hiki.
Kwa kawaida binadamu wote kuna namna akili ikikaa ikatulia anaona upuuzi wake na kuanza kujidharau na hapo ndipo sonona huanzia
Watu kama wewe Mungu akiwajaalia umri mrefu mtaishi maisha ya upweke sana
amechojoa na kutoa maksi za bure sana kwa pisi kali za SAUT zilizokubali kuondoa vifuniko vya asali zao.Yule baba mzuri wa sura na roho halafu akili ipo active big brain
Unaweza kuthibitisha tuhuma zako dhidi yake?amechojoa na kutoa maksi za bure sana kwa pisi kali za SAUT zilizokubali kuondoa vifuniko vya asali zao.
Niwe careful kwa lipi ?na mara zote huwa nasema humu jukwaani, uovu mwingi umejificha kwenye wema, but naona wengi wanakua na imani za akina tomaso
plz be careful 🐒
kwanini nithibitishe mambo maovu obvious ndugu mdau? sidhani kama kuna sababu ya maana hata moja ya kufanya hivyo. Acha imtafune mwenyewe dhambi hiyo dhalimu na ya udhalilishaji,Unaweza kuthibitisha tuhuma zako dhidi yake?
Niwe careful kwa lipi ?
Haya sawakwanini nithibitishe mambo maovu obvious ndugu mdau? sidhani kama kuna sababu ya maana hata moja ya kufanya hivyo. Acha imtafune mwenyewe dhambi hiyo dhalimu na ya udhalilishaji,
by the way,
nimetoa ushauri mujarabu bure kabisa kwa wadau wote wa JF kua careful dhidi ya uovu unaojificha kwenye wema now days,
ikiwa sio muhimu, try careless na itapendeza zaidi ndugu mdau 🐒