YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

tulimtuma sisi,madaktari wenzake....
Yupo anapeta sana na hategemei ajira ya mwizi mkuu...
 
Du hii kali !
Ina maana ukiwa na njaa kwa sababu ya kutolipwa mafao yako basi inabidi usubiri kutumwa kudai haki zako?

ukizoea kutumwa, unadhani kila mtu katumwa... ndio ufupi wa akili wa KUPENGE, our very own kenge around
 
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa

Wewe huenda hujui unachoongea.

hao madakitari uliowaona wanagraduate ndio hao wanafika wakati wanagoma kutokana na mazingira mabovu, kwani unafikiri mgomo huu umeanza tu hakuna sababu.

Madakitari wana soko kubwa katika ajira kaw sababu ni kazi ya Kitaaluma, usiwe kama hao viongozi waliofikiri kuwa replacment ya madakitari ni sawa na House Girl wake pale nyumbani (akienda kijijini hasa kipindi hiki shule wamemaliza basi anampata wa kumsaidia kazi za nyumbani) Hawa wanapikwa kwa miaka, na ingelikuwa ni sawa kama unavyofikiria basi hili tatizo lingelikuwa ni dogo. Lakini usilione dogo kama kwa mtazamo wako na huenda hata na Serikali nao wanaliona ni tatizo dogo ndio maana wanatuletea Siasa katika Uhalisia wa jambo.

Kila sehemu wanafikiria ni jukwaa la kutangaza siasa. Wanashindwa kutofautisha Siasa na Uhalisia wa jambo.

Na kama Serikali wangelikuwa wanaringa Mbona walisema watawaleta JWTZ wafanye kazi katika Hospitali za Serikali lakini hadi leo hakuna. Au mbona walisema warudi kazini na wasiporudi Wamejifukuzisha kazi, ajabu Serikali hadi leo inashindwa kutoa tamko kuwa Madakitari wote wamefukuzwa kazi.

Raia wasio na hatia wanazidi kufa kila siku kutokana na uzembe wa Serikali yetu LEGELEGE ISIYOWAJALI WANANCHI WAKE.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira

images

Kupeng'e nenda kamuulize shwali hili Mh. Magreth Sitta, yeye anajua kuwa leo mkutano wanafanyia wapi na hapo anapatikana Dr. Ulimboka.

Na yeye atakueleza kama Serikali inasalimu amri au ni Drs. walisalimu amri na kutaka kumpigia magoti mwenzako kwa unyenyekevu??

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
nipo hapa tmj natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende

hapo tmj yupo dokta kapiteni mkongomani kama huna kitu ye hana tabu ankugeuza bwabwa tu, we kajipendekeze, mzee wa watu hana tabu atakukaribisha home ukachukue dawa
 
madaktari bingwa wamegoma na kuunga mkono juhudi za kina ulimboka.sasa nyie bakieni gizani mkisema sio daktari badala ya kushughulikia hoja za madaktari.

Umeona eeh! Pinda alisema sio dactari na wasimsikilize maana jamaa ni bingwa wa migomo,cha kushangaza hata hao madactari bingwa nao wameingia kwenye mgomo,hapo unaweza kupima kama alichoongea pinda ni sahihi.
 
Watanzania tuna matatizo makubwa,

Ndiyo maana hata Kikwete na matatizo yake yote.....amekubali na kufikia hitimisho kwamba watanzania wengi ni vilaza, tena wale wa mwisho kabisa....Below the margin!!

Hivi mnataka tusemeje ili muamini kwamba Daktari ni daktari na siyo kama utingo, muuza baa au konda wa daladala!! Huwezi kuamka ukaenda sehemu na kuokoteza madaktari.....Pinda ni mfano wa wale ambao sasa amelazimika kuukubali huu ukweli.

Otherwise, itabidi tuanze kuwafikisha angalau baadhi ya watu kwenye lectures za MD1 ili waone nini huwa kiko huko!!

Babu DC!!
 
Wamezidi hao............ Bora maana wanafanya kila sehemu mahali pa siasa bora wa pambane na mapapa wenzao wale kambare wadogo walikuwa wanawaonea tuuuuuu na hasa kupitia chombo chao bandia tbc....... Eti chombo cha habari cha taifa... Hakuna lolote
 
cyo padre anayelawiti watoto?

inaonyesha ndo tabia yako au ushawah kulawitiwa na padre uko cameroon mana mapadre kitanzania hawana hyo tabia!shndwa pepo,una wivu sana degree ya ulimboka!kasome nawe uitwe doctor!
 
Umeona eeh! Pinda alisema sio dactari na wasimsikilize maana jamaa ni bingwa wa migomo,cha kushangaza hata hao madactari bingwa nao wameingia kwenye mgomo,hapo unaweza kupima kama alichoongea pinda ni sahihi.

Tell him!hao maspecialist wametoa wagonjwa wodin nakuwaambia waende kokote coz muhimbili tools down,sasa utasema ni Ulimboka,nw Ulimboka is da public figure,wacha wabakie kuuliza,eti oooh Ulimboka cyo doctor ooh cyo mfanyakazi wa umma,badala yakuwaunga mkono madaktar,Clinical officer na manurse ili upate huduma bora!
 
inaonyesha ndo tabia yako au ushawah kulawitiwa na padre uko cameroon mana mapadre kitanzania hawana hyo tabia!shndwa pepo,una wivu sana degree ya ulimboka!kasome nawe uitwe doctor!
dada mrembo punguza ukali wa maneno.
 
Back
Top Bottom