kama hospitali hakuna dawa,hakuna vipimo,vitanda hakuna, mgonjwa akija na kidonda anarudi na tb.. Unataka tuwatibu kwa mik...undu yetu? Hivi kweli inafikia hatu national referal teaching hospital kila kipimo mgonjwa aende private? Kila dawa akanunue? Hata malaria tunarefer nje? Hakuna hata maji ya theatre! Pesa nyingi zinatumika kwenye upumbavu wa wachache waliojimilikisha hili shamba la bibi. Ilifikia hatua it was unavoidable! Mabadiliko lazima yatokee tu. Ni kwa gharama ya wachache na watakaonufaika ni wengi. Mungu ibariki tanganyika na uwarehemu wale mashujaa waliokufa wakati huu wa mgoma,