dkt. vincent mashinji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa CHADEMA tokea chama kianzishwe mwaka 1992 mpaka sasa; Unamkubali nani zaidi?

    Tangu kuanzishwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 1992, nafasi ya Katibu Mkuu imekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia shughuli za kila siku za chama, kuratibu utekelezaji wa maamuzi ya uongozi na kuendesha sekretarieti ya chama. Hawa ni makatibu wakuu wa CHADEMA tangu...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC wa Serengeti atoa siku 7 kwa wanasiasa waliowadanganya wafanyabiashara

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Vicent Mashinji ametoa siku 7 kwa viongozi wa siasa waliowaambia wafanyabiashara warejee katika maeneo yao ya awali ya biashara na kuondoka katika maeneo yaliyotengwa, kwenda kukanusha kauli zao vinginevyo atawachukulia hatua kali za kisheria. “Niwaagize wote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kheri James na Vincent Mashinji kupewa Ukuu wa Wilaya ni demotion

    Uteuzi wa komredi Kheri James Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) na Dr. Mashinji kuwa wakuu wa wilaya hii ni demotion( Kushushwa Vyeo), kwani hawa walikuwa viongozi wa juu na sasa wanakwenda kuwajibika kwa wakuu wa mikoa Amos Makala Dar es Salaam na Alli Hapi, Mara. Kwa nafasi...
  4. Riz king

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

    Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy. Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya...
Back
Top Bottom