Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
Katiba ya Nchi inasemaje? Who are you? Una rakua nini? Zittokabwe siku hizi simuonioni ungeni, wala TLS, wala WB,mbona huuluzi? He is a free citizen unamtakia nini? Kuna Netanyahu na Abdallah "King" Kibadeni, na Ali Issa, wako wapi mbona huulizi?
 
Alikuwa kwaa ajili ya matumizi ya mara moja tu (For single use only) atakuwa choo.ni maana ndo zinakotupwa toileti pepa na kyondom zilotumika.
 
Analinda kabur
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
 
Hahaaaa

Aisee. Kumbe mtu anaweza kukuharibia C.V kwa vijipesa kidogo tu vya rushwa.

The guy is now a spent force.
 
Boss. Cheki vizuri rekodi zako. Yule jamaa sio mkuu wa wilaya. Na hata angepewa ukuu wa wilaya asingekubali. From top top Chadema kwenda kuishi vijijini hata magazeti hayafiki
Umenikumbusha yule ndugu yake Magufuli aliyekuwa ameifanya UVCCM kama mali yake alivyopoa siku hizi. Nadhani alipewa u-DC na huo ni mashaka matupu kwani siku yoyote unaweza kuondolewa.
 
Boss. Cheki vizuri rekodi zako. Yule jamaa sio mkuu wa wilaya. Na hata angepewa ukuu wa wilaya asingekubali. From top top Chadema kwenda kuishi vijijini hata magazeti hayafiki
Umejiunga lini jf? Mwezi wa 6 tu hadi Leo unasahau? Nchi ngumu sana
Mashinji ni mkuu wa wilaya ya Serengeti
Uteuzi huo hapo
Screenshot_20211223-204014_1.jpg
 
Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy.

Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya nyungu ambayo Kigwaboy alitaka ipasuliwe?

Yu wapi Mashinji?
Ameshakuwa kiroboto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom