Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

..na huo uchonganishi aliufanya kwa miaka 5+ bila Raisi, serikali, au Ccm kuchukua hatua.

..je, nani alikuwa anamtuma Musiba?

..Nani alikuwa anamlipa na kumuwezesha Musiba?

..Kwa mfano, nani alimsaidia Musiba kumdukua Membe, na wenzake?

..Nani alikuwa anamlinda Musiba?
Musiba alikuwa mtu wa kitengo na alishamiri sana enzi za yule balozi wetu kule NAMIBIA [ Kipilimba] alipokuwa mkuu wa kitengo!! Cha kushangaza ni pale yule Mkuu wa kitengo kumfadhiri Musiba wakati huo huo alikuwa karibu sana na NYOKA WA MDIMU [ Membe]!! Hata kutolewa kwake jiwe alihisi kuwa alikuwa anavujisha siri kwa Membe!
 
Ndugu wadau

Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.

Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Yatima Hadeki ujue
 
Anatafuta hela ya kumlipa Membe
 
Tumuombee sana,.. Mungu hadhihakiwi .. Anachopitia kiwe funzo na kwetu pia
 
Kwa yle maneno aliyokuwa anayasema ni vema akawaomba wale wote aliowachafua radhi na pia atubu kwa Mungu.
 
..na huo uchonganishi aliufanya kwa miaka 5+ bila Raisi, serikali, au Ccm kuchukua hatua.

..je, nani alikuwa anamtuma Musiba?

..Nani alikuwa anamlipa na kumuwezesha Musiba?

..Kwa mfano, nani alimsaidia Musiba kumdukua Membe, na wenzake?

..Nani alikuwa anamlinda Musiba?
Jamaa alisumbua sana watu aisee,huenda ile ilikuwa 'project maalum' ya kuwalenga watu fulani wenye ushawishi ili kuwachafulia sifa na majina.
 
Back
Top Bottom