Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Tatizo la Musiba hata CCM alikuwa hakubaliki na ndio maana alijaribu kugombea ubunge akashindwa huko mwibara. Kwa Sasa anajuta tu kwa ujinga wake.

Uongozi wa Magufuli uliexpose wajinga wengi akiwemo huyo Musiba. Nakumbuka siku Lissu amerudi nchini, Musiba alimshambulia Sana utadhani nchi ya babaake, sasahivi kajificha hawezi kuonekana. Musiba, Makonda na Sabaya wawe someone kwa vijana Viongozi.
Wanaishi kama digidigi nchini mwao. Mungu awasamehe sana hawakujua walitendalo
 
Ndugu wadau

Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.

Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'

Labuda ni hausi boyi wa mbeme maana mbeme alimwambia kama atakosa hela ya kumlipa(baada ya mahakama kutangaza msuba amlipe)mbeme alimwambia akikosa hiyo hela aende homu kwake atampa kazi ya kufanya
 
Huyu ndugu kama kujichimbia basi anajua kujichimbia. Hakuna hata mtu anayemnasa lwa picha huko mtaani? Au alitokomea nchi za nje
 
Huyu ndugu kama kujichimbia basi anajua kujichimbia. Hakuna hata mtu anayemnasa lwa picha huko mtaani? Au alitokomea nchi za nje
Mbona alishanaswa na video iliwekwa humu akilia kwa nyumba yake kupigwa mnada !
 
Ndugu wadau

Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.

Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Yuko anapiga jembe kijijini kwao huko mkoani Mara.
 
Back
Top Bottom