Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,892
UKIMWONA UNAWEZA KUDINDOSHA MACHOZINdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app