Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

Ndugu wadau

Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.

Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Yuko pembeni mwa kaburi la mwendazake

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Je alikwishamlipa Mhe. Membe fidia yake kwa ajili ya kumchafua?.
Unajua ilikuwa bei gani? Aliambiwa na Mahakama amlipe Membe 7B Tshs. Sijui kama anazo na jana Membe karudi CCM kwa kishindo kwa kupewa kadi mpya ya CCM na kwa hali hiyo Musiba itabidi ahamie Kenya tu!
 
Mwanaharakati huru anapobakia kama pilitoni dadadeq...

Lakini mlimuunga mkono. Sema sasahivi ndio mnapata akili. Wakati ule mlikuwa hamuambiwi kitu.

Rais Samia yeye kajifunza, kaona pesa na mali ni vitu vya kupita, ajira ametoa, mishara kapandisha na Malupu lupu juu.

Tunasubiri Katiba Mpya tu baasi.
Haya matozo huyaoni? Jinga weee.
 
Ndugu wadau

Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.

Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Nguvu ya mamba iko kumayi
 
Tatizo la Musiba hata CCM alikuwa hakubaliki na ndio maana alijaribu kugombea ubunge akashindwa huko mwibara. Kwa Sasa anajuta tu kwa ujinga wake.

Uongozi wa Magufuli uliexpose wajinga wengi akiwemo huyo Musiba. Nakumbuka siku Lissu amerudi nchini, Musiba alimshambulia Sana utadhani nchi ya babaake, sasahivi kajificha hawezi kuonekana. Musiba, Makonda na Sabaya wawe someone kwa vijana Viongozi.
 
Back
Top Bottom