Yuko wapi Charles Jangalason?

Yuko wapi Charles Jangalason?

Wachungaji
Maisha ya wawili
Israel waliteseka
Nabii hana hesima kwao
Nani kasema
Waganga wa kienyeji (huu wimbo nimeutafuta sana siupati)

N.k

Hawa ndio walikuwa wanasimamia kile wanachohubiri, sio hawa wa fuata maneno yangu usiagalie matendo. Washenzi wakubwa, unawezaje kuwalazimisha watu wafanye kile kilichokushinda?

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama Bado unatafuta wimbo wa waganga wa kienyeji nitafute nikupe ,+255753893995
 
Kuna ngoma yake taifa teule hatari Sana ile
Screenshot_20250522_084046_Spotify.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom