Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

EN ameshika nafasi kubwa kitaifa, nadhani amejipa muda na kutulia, sioni kibaya chochoye watamfanya...
 
”Nilipoona taarifa ya kikao cha Halmashauri Kuu nilipigia simu Nchimbi simu haikupokelewa, nilipoona taarifa ya kuvuliwa uanachama bado simu haikupokelewa, nikatuma ujumbe haukujibiwa na siyo kawaida yake baadae nikaona amenyang’anywa simu yupo kizuizini na haya ndio matatizo tuliyonayo”

Jaji Warioba leo tarehe 28/8/2026, kwenye Tanzania Democracy Forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…