Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina
Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote
Kwamba keshakimbia nchi na ataibuka siku si nyingi..!
Je kama alishajiandaa siku nyingi na kwenda mafichoni kabla hajaachia hiyo barua na sasa yuko anausoma mchezo na hizi taharuki?
Ama je kama walimuwahi kabla hajawawahi itakuwaje?
Kimsingi ni kwamba haya yote hayatokei kwa bahati mbaya yamepangwa ili kutoa nafasi tupelekwe chaka tusifuatili mengine maana TAL ndio leo anahitimisha ushahidi wake ..
Yote juu ya yote hii ngoma bado mbichi sana na mbuzi wa kafara wanaweza wasihesabike
Halijaisha hill ..!View attachment 3658089
Mmmh ! Ila maombi ya nguruwe pori kumpata Simba ni mtihani !Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina
Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote
Kwamba keshakimbia nchi na ataibuka siku si nyingi..!
Je kama alishajiandaa siku nyingi na kwenda mafichoni kabla hajaachia hiyo barua na sasa yuko anausoma mchezo na hizi taharuki?
Ama je kama walimuwahi kabla hajawawahi itakuwaje?
Kimsingi ni kwamba haya yote hayatokei kwa bahati mbaya yamepangwa ili kutoa nafasi tupelekwe chaka tusifuatili mengine maana TAL ndio leo anahitimisha ushahidi wake ..
Yote juu ya yote hii ngoma bado mbichi sana na mbuzi wa kafara wanaweza wasihesabike
Halijaisha hill ..!View attachment 3658089
Hamjamuua bado?MR MACHO MAN MAN IS NOW EXCOMMUNICADO
Wana usalama, mikono salama na mahali salama | JamiiForums Tanzania https://share.google/jKWQXGaMINeTVV2yVMtujuze
Haramu wafanye makabidhiano?BTW bado ni Makamu wa Rais hadi tar 4 September, lazima pia afanye handle over tena public ione makabidhiano. Kuna vimitego naviona kwenye hii issue nzima!