Yuko wapi Augustino Polepole

Yuko wapi Augustino Polepole

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,633
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.

Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.

Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
 
Wewe unajua kwanini kizimkazi kajificha mchanbawima!?
 
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.

Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.

Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Huyo kawaiwa wote na mdogo wake wapo kaburini au laaah, basi alipoozwa na kitita Cha maana akaamua afunge domo, (tamaa za hela)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom