Yuko wapi Augustino Polepole

Yuko wapi Augustino Polepole

Yule mjanja mjanja tu, usikute nae ikunja mpunga na kumuuza nduguye...
Alijiita kanali, nikamtoa akili aliposema ndugu yake ana chip mwilini, nikaona hapa labda awe ni sungusungu
 
We Mjinga, hujiulizi ni kwanini Rais wako BATILI anaishi mafichoni hadi sasa?
 
Atakua kaliwa kichwa na yeye usicheze kabisa na Yezebel ni shidaaa kwa ufupi.
 
Ndivyo ilivyo, unachofanyia wenzako kuna uwezekano na wewe kikakukuta kama hicho, wakati mwingine kuna watu unawaacha Tu mambo yaende kama yalivyo bila kupiga kelele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom