kaacha bbc.....kwa sasa ni mkurugenzi wa redio fm moja town......lingine?Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?
hata mimi nilikutana naye pale tegeta akaniambia amefungua radio yake dodoma pia siku hiyo hiyo alifanikiwa kumkamata bwana mmoja ambaye alikuwa siye raia wa tanzania akipiga kura pale tegeta shule ya msingi na kumkabidhi kwa polisi, majura anasema alishawai kumuhoji kama mkimbizi kutoka burundi matokeo yake tena akamkuta anapiga kura ndipo majura alipochoka toka lini tena amekuwa na raia na kupiga kura anapigaAnamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
Anamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
hata mimi nilikutana naye pale tegeta akaniambia amefungua radio yake dodoma pia siku hiyo hiyo alifanikiwa kumkamata bwana mmoja ambaye alikuwa siye raia wa tanzania akipiga kura pale tegeta shule ya msingi na kumkabidhi kwa polisi, majura anasema alishawai kumuhoji kama mkimbizi kutoka burundi matokeo yake tena akamkuta anapiga kura ndipo majura alipochoka toka lini tena amekuwa na raia na kupiga kura anapiga
Womanizer na Majura yupi ni mkali wa speed ya kuzishusha chupi za warembo?ila anapenda sana mademu
Anamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?
Anamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
Anamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
Leo Abdallah Idrisa Majura ameibukia CCM Kinondoni, kachukua fomu kugombea Ubunge. Nadhani ataishia kura za maoni, jamaa huyu hajawahi kushinda nafasi yoyote ya kupigiwa kura; aliwahi kujaribu FAT enzi hizo wakamkata, akajaribu CHANETA nao wakakata, sasa tuone huko CCM Kinondoni kama atakatiza.