Yu wapi mtangazaji wa BBC Mr. Abdallah Majura?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?
 
kaacha bbc.....kwa sasa ni mkurugenzi wa redio fm moja town......lingine?
Nafunga Thread
 
Anamiliki FM Radio moja iko Dodoma inaitwa SPORT FM, ila anapenda sana mademu
hata mimi nilikutana naye pale tegeta akaniambia amefungua radio yake dodoma pia siku hiyo hiyo alifanikiwa kumkamata bwana mmoja ambaye alikuwa siye raia wa tanzania akipiga kura pale tegeta shule ya msingi na kumkabidhi kwa polisi, majura anasema alishawai kumuhoji kama mkimbizi kutoka burundi matokeo yake tena akamkuta anapiga kura ndipo majura alipochoka toka lini tena amekuwa na raia na kupiga kura anapiga
 
Ndo chakachua zenyewe hizo, wenyewe wanazijua lakini.
 
mara ya mwisho nilimuona 2009 pale msimbazi Center tukifanya wote annual ya Gender and development Ya Open University of Tanzania. tulitegemea kuhitimu wote 2010 lakini hakuhitimu bado alikuwa na kozi nying adaiwa.
 
Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?

Leo Abdallah Idrisa Majura ameibukia CCM Kinondoni, kachukua fomu kugombea Ubunge. Nadhani ataishia kura za maoni, jamaa huyu hajawahi kushinda nafasi yoyote ya kupigiwa kura; aliwahi kujaribu FAT enzi hizo wakamkata, akajaribu CHANETA nao wakakata, sasa tuone huko CCM Kinondoni kama atakatiza.
 
Mmiliki wa ABM radio. Mgombea ubunge kawe . anakaa Bunju mkanada.. Kwao bukoba
 
Leo Abdallah Idrisa Majura ameibukia CCM Kinondoni, kachukua fomu kugombea Ubunge. Nadhani ataishia kura za maoni, jamaa huyu hajawahi kushinda nafasi yoyote ya kupigiwa kura; aliwahi kujaribu FAT enzi hizo wakamkata, akajaribu CHANETA nao wakakata, sasa tuone huko CCM Kinondoni kama atakatiza.

Sio kinondoni mkuu ni jimbo la kawe ndio anataka kugombea
 
Back
Top Bottom